Wadada nisaidieni hapa.

Wadada nisaidieni hapa.

serious russian. Kama ananicheat ila mambo yote yanaenda sawa ndani ya nyumba siwezi kumuacha.
What do you mean 'mambo yote yanaenda sawa'? ni mambo gani yanawaweka pamoja kama sio mapenzi? na akisha gawa penzi huko nje what is left? If you man material things I believe you can have your own, if you mean time spent together you can have that from friends and family. sasa hayo 'mambo yote' ni nini tena kama sio trust, respect, love and all the things he has just blown up kwa ku-cheat? Na hapa hatujasema vya magonjwa.
 
Kwa bahati mbaya huu ndiyo mtazamo wa wanawake wengi! Mimi nimeshawahi kuulizwa "Ngabu utaacha wangapi kama kila anayekucheat utamuacha"? Tena niliulizwa hivyo na jimama kabisa.

Ila kwa vile mwisho wa siku ni uamuzi wa mtu, basi poa tu.
 
Mie hapa nadhani watu wakishaingia huko kwenye ndoa au mahusiano ndo watajua nini kitawatoa ..
Mwingine atasema nikipigwa tu naondoka zangu lakini utakuta akiingia huku everyday ni kichapo na hatoki..akiamini iko siku bwana shemeji atabadilika..
Mie naangalia ..
 
Hebu ngoja nisome maoni ya wadada, kama maudhaifu yangu ni miongoni mwa wanaoweza kupigwa kibuti................
Huenda mama Ngina anasubiri niingie kwenye kumi na nane zake..........LOL
 
Umesema la kweli pia. Ni rahisi sana kusema kuliko kutenda.

Ila watu wenye misimamo thabiti na wasiovumilia upuuzi usiovumilika wapo pia.
 
Hebu ngoja nisome maoni ya wadada, kama maudhaifu yangu ni miongoni mwa wanaoweza kupigwa kibuti................
Huenda mama Ngina anasubiri niingie kwenye kumi na nane zake..........LOL

na tunavyojua kuwasubiria....ukibugi tu unae....kudadadeki....
 
What do you mean 'mambo yote yanaenda sawa'? ni mambo gani yanawaweka pamoja kama sio mapenzi? na akisha gawa penzi huko nje what is left? If you man material things I believe you can have your own, if you mean time spent together you can have that from friends and family. sasa hayo 'mambo yote' ni nini tena kama sio trust, respect, love and all the things he has just blown up kwa ku-cheat? Na hapa hatujasema vya magonjwa.

russian, kama ananicheat ila nakuwa nae ninapomuhitaji, hana ukorofi ndani ya nyumba na anawajibika vizuri kama mume au baba wa watoto. Sina tatizo hapo.
 
Kwa bahati mbaya huu ndiyo mtazamo wa wanawake wengi! Mimi nimeshawahi kuulizwa "Ngabu utaacha wangapi kama kila anayekucheat utamuacha"? Tena niliulizwa hivyo na jimama kabisa.

Ila kwa vile mwisho wa siku ni uamuzi wa mtu, basi poa tuo.

mi naungana na hao wanawake.
 
Mie hapa nadhani watu wakishaingia huko kwenye ndoa au mahusiano ndo watajua nini kitawatoa ..
Mwingine atasema nikipigwa tu naondoka zangu lakini utakuta akiingia huku everyday ni kichapo na hatoki..akiamini iko siku bwana shemeji atabadilika..
Mie naangalia ..

hapo umenena first lady. Ila kama ambavyo sisi tuliopo nje ya ndoa hatujui yanayoendelea ndani ndivyo hivyo mliopo ndani hamjui yanayoendelea nje. Kiukweli wanaume wengi waliooa wanacheat tena sio kidogo. Wanawake washukuru tu kama wanachetiwa bila wao kujua.
 
Mkiniona Mimi mume ame cheat na nikajua kwa uyakini usio shaka na nikaendelea kuwa nae, njooni mnicharaze bakora....
 
  • Thanks
Reactions: bht
Kiukweli wanaume wengi waliooa wanacheat tena sio kidogo. Wanawake washukuru tu kama wanachetiwa bila wao kujua.

Hapa sasa ndipo unapokosea Mwajuma. Kuna idadi kubwa sana ya wanawake wanaocheat pia. Sema tu kwa vile dhana ya kwamba wanawake huwa hawacheat imeshajijenga kwenye fikra za watu wengi hivyo ni ngumu watu kujenga taswira ya mwanamke aliyeolewa kucheat.

Lakini ukweli wa mambo ni kwamba they cheat just as bad as men do.
 
Naujua sana mtazamo wako Mwajuma.

Koni vipi leo?

yaani mi ndio hivyo, labda kwasababu nishaona wanaume wengi wanacheat ila kwa wake zao ni wanyenyekevu na maisha yanaenda. We staki koni, juzi umeniponza bado kidogo ndoa yangu ivunjike. Lol
 
Hapa sasa ndipo unapokosea Mwajuma. Kuna idadi kubwa sana ya wanawake wanaocheat pia. Sema tu kwa vile dhana ya kwamba wanawake huwa hawacheat imeshajijenga kwenye fikra za watu wengi hivyo ni ngumu watu kujenga taswira ya mwanamke aliyeolewa kucheat.

Lakini ukweli wa mambo ni kwamba they cheat just as bad as men do.

unaweza kutuongelea kwa upande wetu. Mi nimeamua kuongelea upande mmoja. Ulichosema ni kweli
 
-Mwanamme mwenye wivu kupita kiasi
-Mwanamme bakhili
-Mawanamme mwenye mawazo finyu yasiyo na maendeleo.

HAPO MIMI NAKATAA. USIMGEUZE MWANAUME ATM machine. Na huu ndo udhaifu wa wanawake, wanahisi wao ni wa kupewa tu, nawapongeza wale wanaotoa
 
Back
Top Bottom