Wadada nisaidieni hapa.

Wadada nisaidieni hapa.

Mimi nimezungumzia kama 'akipata' gonjwa la zinaa na kukuletea wewe. Je, utaenda tu kliniki na kupewa dozi za antibiotics na kurudi nyumbani kuendelea kupokea dozi zake?

nitamuacha kila mtu akafie kivyake
 
Naogopa sana ndo maana siwezi kushiriki wala kuvumilia hayo mambo. Nataka niwazike wazazi wangu na sio wao ndo wanizike mimi.

so wewe knowingly hujawahi kutembea na mwanamke huku ukijua sio muaminifu?
like an bf tayari au mume?
 
mmh .kama mchunaji imean kukutumilia, haoneshi kuthamin hisia zako, yy anaonesha thamani ya kitu tu juu yako, kudanganya naanisha kuwa hayuko muazi when ww umemuani private life yako ,cheatin is badluck bcz man anaweza aka chit ila anakupenda f real asilimia 80 ya men wanachit ukisema uwape redcard wote watapata
 
Ni kitu gani kitakufanya umuache mwanaume, mbali na kucheat? Majibu yenu yatawasaidia wale wanaopigwa vibuti kila kukicha. Karibuni tujadili

Tatizo la wadada mlio wengi ni kuwa mnawafanya wanaume kama ATM machine vile au nyie ndo wa kuwajali sana kuliko wanavyohitaji wanaume. Na wengine ni ombaomba sana kiasi kwamba akikutana na mwanaume aliyechoka kuombwa basi huwa wanamuita BAHILI, na mwisho kupigana vibuti. cha kushangaza sijui ni wapi pametaja kuwa WANAWAKE NI WA KUPEWA NA WANAUME........... najuwa hapo kwenye kupewa ndo huwa panasababisha vibuti kwa sana....... Mwanamke akiamka tuu anaanza kuomba na akinyimwa kwa sababu yoyote ile ni balaa
 
Hapa naungana na Sisy wangu Husninyo,
Siwezi kumwacha mme wangu nimpendae na anayenipenda kwa ajili ya mwanamke mwenzangu,never!!!!

Cha kufanya ni kutafuta chanzo au sababu ya yeye kuchiti na kulipatia soluton,
Lzm kuna sababu tu kwa sio tabia yake,na sitatatua tatizo kwa kufungasha mabegi,

Some time mie mwenyewe naweza kua chanzo cha tatizo,na km sio mm basi nitaongea naye tushirikiane kulimaliza,nikishindwa mwenyewe nitatafuta msaada kwa watu wetu wa karibu hasa anaowaheshimu yeye,ikishindikana nitaenda kwa viongozi wa kanisa wanisaidie na hapo itakuwa kesharukwa na akili kwan atakua ameshindwa hata kumsiliza mzazi wake aliyemzaa,na hapo tutatafuta namna ya kudeal na mgojwa na sio mwenzetu tena.

Nitaondoka kwa mume au nitamuacha siku atakayoniambia HANIPENDI TENA na hanihitaji maishani mwake,na matendo yake kweli yakadhihirisha hilo.
 
-Mwanamme mwenye wivu kupita kiasi
-Mwanamme bakhili
-Mawanamme mwenye mawazo finyu yasiyo na maendeleo.
Mwenzio anataka umsaidie mbinu sahihi.., Mtudanganye? Mtoke n'nje ya mahusiano? Mtuibie? Au...? Mpe mbinu tunataka kuziona hapa janvini, halafu kaeni pembeni msubiri zetu.., sisi zetu hazihitaji mjadala jamani wadada, mbona mnatafuta balaa?
 
ninawamis wadada wengi sana waliojitokeza ktk uzi huu,
wamepotea mazima.
 
Kweupeee mwanaume mpigaji ntamuacha ,mengine yote ntavumilia but sio kipigo
 
jeuri kiburi dharau, majigambo, ujuaji mwingii hataki kukosolewa hata kama amekosea, kosea wew sasa hapatosh, hajiamin kabsaa kila siku au kwa sababu au kwa sababu haziishi, utumikishaj mwingi mnoo atakachosema ni must ukifanye alaaaa hata mahari hujantolea untumikishe hivoo! kwendaaaaa
 
HAPO MIMI NAKATAA. USIMGEUZE MWANAUME ATM machine. Na huu ndo udhaifu wa wanawake, wanahisi wao ni wa kupewa tu, nawapongeza wale wanaotoa

sio dhana ya kupewa wala kumgeuza mwanaume ATM mmeowana ili mshee majukumu ila ye pesa yake haionekani hata kumi sa waendelea kuishi nae wa nini??
 
Back
Top Bottom