Wadada nisaidieni hapa.

Wadada nisaidieni hapa.

Obvious u won't be happy if he cheats on you, beats you, disrespects you in anyway, doesnt help you realize your dreams in a way, doesnt appreciate you for who you are, etc etc (au sio?)

Kwa hiyo hii yako ni broad Gee kwa uelewa na mtazamo wangu

Haswaa.....
 
To some extent ame sum up sababu zote za msingi (my opinion)
True RR
Maana ukiangalia msingi wa yooote ni kuwafanya wote wawili muwe na furaha kwenye uhusiano wenu
Sasa kama lipo/yapo yatakayopelekea usiwe/msiwe na furaha then why hang on?
 
Kuna wanaume wengine wanapigwa vibuti kwa sababu wanawake wanashindwa kujifanya dumb and stupid all the time. Mwanamme anataka awe anajua yeye tu!
 
True RR
Maana ukiangalia msingi wa yooote ni kuwafanya wote wawili muwe na furaha kwenye uhusiano wenu
Sasa kama lipo/yapo yatakayopelekea usiwe/msiwe na furaha then why hang on?
Jana kuna mtu alisema hawezi divorce sababu ya stigma inayo wakumba divorcees. No matter how unhappy the marriage gets, people have to hang on 🙁
 
Khaaa! Hivi huwa kuna stigma eeh?...

Hawa ndio wale wanaishi watu wapendavyo na sio wao wapendavyo...chakufia kwenye ndoa ni nini?
 
Jana kuna mtu alisema hawezi divorce sababu ya stigma inayo wakumba divorcees. No matter how unhappy the marriage gets, people have to hang on 🙁
Sasa hapo ndo utagundua vile wengi wetu hatuishi maisha yetu bali ya watu wengine...
Tunafikiria tu hivi jamii itanielewaje mimi nikiachana na mume wangu? Yaani hujIjali binafsi unapitia mangapi kwenye hiyo ndoa na maumivu mangapi unayapata.....

Oh well...in that case one has to hang on in there!
 
Stigma ipo. Na bora hata ukipewa wewe talaka watu wanaweza kukuonea huruma, lakini uidai wewe!

Utaambiwa "mwanamke mpumbavu......."
 
Ni kweli Gee, kwenye jamii zetu utaonekana wa ajabu.
Wiki jana kuna mada ilijadiliwa humu na hili la mwanamke kudai talaka likaibuka. Na niliona watu walivyolipinga, sasa ufikirie huku ndo JF nje huko kwa akina siye si balaa?
 
Hivi mpaka ifike mahali mwanamke uombe/udai talaka watu huwa wanafikiri umepatwa na maswahiba madogo? Nijuavyo mimi hakuna mtu anaependa kuachwa/kuacha pasipo sababu za msingi... Mpaka mtu anadai talaka jua amefika mahali amechoka.,. Mimi binafsi sioni tatizo kwenye hilo!
 
Stigma ipo. Na bora hata ukipewa wewe talaka watu wanaweza kukuonea huruma, lakini uidai wewe!
Utaambiwa "mwanamke mpumbavu......."
But somehow ni bora tabu ya stigma, inaisha as soon as you live a happy life again. Tabu ya ndoa mbaya is for life!
 
Back
Top Bottom