msmimi
Member
- Feb 8, 2014
- 72
- 8
nitamuacha kila mtu akafie kivyake
hahahha mwisho umekubali
nitamuacha kila mtu akafie kivyake
Mwanaume asiyetaka kuonesha kuhusu kunithamini na kujali hisia zangu yeye kuwa busy akidhani pesa ndo suluhisho la penzi
mimi akithubutu kunipiga tu... ndio kwaheri
-Mwanamme mwenye wivu kupita kiasi
-Mwanamme bakhili
-Mawanamme mwenye mawazo finyu yasiyo na maendeleo.
Huna hela, funga bakuli....mwanaupe chapaa, huna kaa kando. Maana wengine kwa ubakhili mpaka manakimbia majukumu yenu. Ngoswe!We ni farasi mwanaume bahili we kuwa unampa hela au umekalili vyakupewa? Utapewa mpaka mgoma,ndio nyie nikitaka kuingiza tu mikelele kibao eti naumia na hela nikipe? Shwain
Aisee mim ukinipa kichapo tu umenifukuza[/QU he! We ndo unaondoka tena,mfukuze yeye!
Huna hela, funga bakuli....mwanaupe chapaa, huna kaa kando. Maana wengine kwa ubakhili mpaka manakimbia majukumu yenu. Ngoswe!
Anakuzeesha huyo na kuichakaza hiyo kitu bila thamani ya maana....lolmi majuzi kuna mtu nimemuomba anitumie hela kwanza zimepita kama wiki mbili ndo katuma hiyo hela nlijua imechukua wiki 2 zote labda atatuma hela ya maana mweh eti katuma f10 afu anauliza et vipi inatoshaa?? hapo mpesa inatoka ngapi?? dogoz zangu tu zikinipiga mzinga natuma kuanzia 20!! kwakweli ananifanya nimkumbuke biligeti wangu wa melerani.
Mwanaume bahili anayependa kutumia za kwako za kwake zinamuuma anabana.
Mwanaume tozi anayependa kuishi maisha ya juu kuliko kipato chake. Kutwa ana madeni
Mwanaume anayeni abuse verbally or physically. Sipendi kufanywa kama mtoto wake wa miaka 2 anayeamua amfanye nini anavyopenda. Respect kwanza
Njoo tuoane.