Wadada nini hiki?

Wadada nini hiki?

Kichwa kinakona ishirini kama changu ataacha kuvaa!!?


fake-hair-male.jpg
 
Kweli smtms inabidi 2we na a natural luk.ila 2shukuru tu kuwa siku hizi kuna vi2 vya kubandikabandika maana walahi 2ngekimbiana hapa mjini
 
Halafu unaangalia na sura yako basi kitu gani kitakupendeza,wengine unakuta weaving limekaa kama fagio la buibui lakini yumo tu.

Charger taratibu mweeee lakin wanaume wanayapendaa au mnalazimishwaaa
 
weekend hii nilikua na mpango wa kuweka weaving

hii thread mbona inanipa sababu ya kughairi sasa
 
kaz kwelikweli, kuna wengine unakuta wanajikuna kichwa hadi unahisi fuvu limeshapata crack. wigi limevaliwa miezi zaidi ya miwili. Mimi sioni sababu ya kuhangaika.

ukienda uingereza wao wadada wengi hawafurahii jinsi papuchi zao zinavyoonekana. wanafanya surgery zionekane kama za watoto wadogo. Madr wanapiga pesa kwelikweli.

Haiitaji NGO kutoka ulaya kuelewa somo hili. Afadhali kwa kugundua hilo.
 
Jamani na team ya wapiga dekii wapiiiiiiiiii
 
Af kama alikuwa anakusema,lol!

Nyoa panki!!!!!!!!:biggrin1:

Wikend hii nimefanya maamuz magumu...nimenyoa...picha ntakutumia uone izo kona...lol bt no regrets
 
Huwa natamani kuona nywele natural za wema sepetu au irene uwoya, sijui kama wana nywele wale wadada



Wanawake wengi siku izi ni mwendo wa weaving bandika bandua...ata nywele original hatujui zinafananaje...give your hairs a break kidogo khaa
 
Mwenzio ninampango wa kuzinyoa, hapa nimesuka yebo, nikifumua tu kwa kinyozi


weekend hii nilikua na mpango wa kuweka weaving

hii thread mbona inanipa sababu ya kughairi sasa
 
weekend hii nilikua na mpango wa kuweka weaving

hii thread mbona inanipa sababu ya kughairi sasa

Hapana...usighairi..weka weaving ubadilike kidogo...lakin sasa isiwe bandika bandua....wiki mbil tatu unatoa...let your hair relax
 
Huwa natamani kuona nywele natural za wema sepetu au irene uwoya, sijui kama wana nywele wale wadada

Am doubting pia...wema kila siku amebond...nywele ziote wapi?
 
Back
Top Bottom