Wadada nini hiki?

Wadada nini hiki?

Anyoe tu atapendeza!

images
images
 
Wana sababu nyingi za kuva ma weave.

Kuna wengine wanaona wakikaa na nywele zao hawapendezi.

Kuna wengine wanaona vichwa vyao havifai kusuka na wanaona hawapendezi.

Wengine wanaona wakinyoa hawapendezi.

Suluhu la hayo yote ni kuvaa weave
Kwa kuwa lengo ni kupendeza bhasi katika hili hakuna kosa kabisa.

Pia wengine wana hitaji ushauri wa aina ya ma weave yanayo wafaa.
 
Halafu unaangalia na sura yako basi kitu gani kitakupendeza,wengine unakuta weaving limekaa kama fagio la buibui lakini yumo tu.

Ni weave, siyo weaving.

Mlisoma wapi nyie lakini? Mambo madogo madogo kama hayo kama mtu ulimaliza hata darasa la saba hutakiwi kuyafanyia makosa.
 
Poleni huko dar
Sisi huku nyashimbi kuoga mtoni, nywele akisuka unamuuliza km anamtoko au kuna sikukuu hakuna wigi wala weaving
Kila kitu twakipata natural mpk papuchi ikifunuliwa inaharufu yake orijino

Weave, not weaving.
 
Hahahahaa eti fagio la buibui,ttzo mkiwa nasi na twende kilion zetu akipita mwenye lace wig unageuka kbs kumuangalia na mm najaribu kusuka weaving litengenezwe kama lace wig basi linakosewaaaa ila inabid ukomae usipitwe na wakati,ila ni shidaaa
 
Utasukaje weaving? Kusuka ni kitenzi, weaving ni kitenzi.
 
hahahahha! Tubakishe japo kidogo loh! Nini kutunanga hivyo aisee!

Halafu unaangalia na sura yako basi kitu gani kitakupendeza,wengine unakuta weaving limekaa kama fagio la buibui lakini yumo tu.
 
we uko nyashimbi sehemu gani?
Poleni huko dar
Sisi huku nyashimbi kuoga mtoni, nywele akisuka unamuuliza km anamtoko au kuna sikukuu hakuna wigi wala weaving
Kila kitu twakipata natural mpk papuchi ikifunuliwa inaharufu yake orijino
 
aisee mie zimenichosha...natamani zitoke hata sasa yani..i will do sth abt t yani
Mwenzio ninampango wa kuzinyoa, hapa nimesuka yebo, nikifumua tu kwa kinyozi
 
Duuuh hivi umezungumzia harufu za papuchi eeeh........... hapa Jijini Dar ni tabu sana maana nyingine ukikutana nazo harufu yake haikati miezi sita sasa sijui ndio hivyo vipodozi vinaungana na uvundo aaaaagh

Back
Top Bottom