Huwa nawatafakari sana hao wadada au hawanaga mioyo? Duu mimi nina wivu sana yaniukiona upo na mume wa mtu mwaka hadi mwaka unatatizo kwenye ubongo wako .. na huku anakuchimba mkwara kupiga simu mwisho sa moja .. na ole wako ubebe mimba na ole wako umguse mkewe na we upo tu kapimwe akili
huwezi kuwa na wivu na mali ya mtu labda wivu wa kutafuta cha kwakoHuwa nawatafakari sana hao wadada au hawanaga mioyo? Duu mimi nina wivu sana yani
Wataje
Khaaaa sasa nikuache uniharibie kwa mke wangu?ukiona upo na mume wa mtu mwaka hadi mwaka unatatizo kwenye ubongo wako .. na huku anakuchimba mkwara kupiga simu mwisho sa moja .. na ole wako ubebe mimba na ole wako umguse mkewe na we upo tu kapimwe akili
ha hahahaKhaaaa sasa nikuache uniharibie kwa mke wangu?
Vipi we kwanini hupend waume za watu?Hahahaaa
Mbn me nadhan wavulana ndy wanagegeda sana kuliko waume za watu! Maana mwanaume mwenye familia ana mambo mengi sana ya kushughulikia so huwa wanakuwa na wadada kwa ajili ya kiburudisho tu na kupunguza msongo wa mawazo, ila hawako serious kiviiile kwny mgegedo!H
Namaanisha kuchoka yani mpaka unakosa mvuto sababu ya kugegedwa siku zote na waume za watu kwanza mimi nitoke na mme wa mtu kwa shida gani hasa hiyo
Sasa wewe mtu kakugeuza kiburudisho una akili kweli familia yake imetulia nyumbani wewe unahangaishwa kwenye nyumba za wageniMbn me nadhan wavulana ndy wanagegeda sana kuliko waume za watu! Maana mwanaume mwenye familia ana mambo mengi sana ya kushughulikia so huwa wanakuwa na wadada kwa ajili ya kiburudisho tu na kupunguza msongo wa mawazo, ila hawako serious kiviiile kwny mgegedo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kukufanya uwe ndembendembeWanini sasa
Umesahau MSIMULIA MVUA....Wewe ulishawahi kufanyiwa na mume wa mtu mpaka ukatembea upande upande?