Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Jamani Wanawake wana Moyo Ivo!! kutamani unaweza kutamani ila sio kama vile mwanamme mpaka anakosa raha kabisa
au lazima kipate...
pia mwanamke akitamani kama mwanaume ni hatari kwakuwa sio kila mwanaume anaweza kukidhi haja zake! wengine sio ridhiki pamoja na mvuto wa mwonekano.tofauti na sisi wanaume tukitamani tunauhakika kitumbua kipo[emoji12]
 
mmmmmmmmmmmm....
 
Umepewa ofa ya kubakwa na mabinti 2 bado unalalamika kweli kweliii!? Aah kweli wanaume wa Siku hizi bure kabisaaa na tusipoangalia Africa nzima wanaume tusiopenda kudhalilika tutabaki wawili (2) tu, Mimi na mh Zuma wa kwa zuru natal
Pia mimi na rafiki yangu Mswati wa Swaziland
 
Hutuwezi jua.. labda una mwili wa kike... sababu mwanaume habakwi...
 
soma mada uelewe badala ya kukurupuka toka usingizini.wanawake wanaweza tamani mwanamke mwenzao awashughulikie?!! naive
 
Kwani hujui kama wapo wanawake, wanaotamani wanawake wenzao?
 
Dah No Comment Wengine Hatutamaniwagi Yani.
Sura Mbuzi Kifua Mbu,Mwembamba Kama Moja Mweusi Mithili Ya Lami Chogo Hilo Apo Nyuma.
Mtoto Wa Watu Kunitamani Nakua Namuonea Wah
 
Hahahahahahaha nimepitia comment zote nimecheka sana mi nina kg 110 ila napiga sana mpira ila hata sishobokewi why?
 
Dah No Comment Wengine Hatutamaniwagi Yani.
Sura Mbuzi Kifua Mbu,Mwembamba Kama Moja Mweusi Mithili Ya Lami Chogo Hilo Apo Nyuma.
Mtoto Wa Watu Kunitamani Nakua Namuonea Wah
ukiwa na hela watakuja tu.
 
Back
Top Bottom