Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Hao wanaotamani wanaume ni wale ambao hawajaridhika na waume zao au pengine hawana kabisaaaa!
 
Na nyie ndiyo mnafanya baadhi ya wanaume kufia Gym mtu kawaida weight yake ni 60kg kisa upo hapo pembeni unamwangalia atapiga hadi 100kg matokeo yake ni balaa tupu..
hahahaha umenfraisha mkuu
 
yan mm ningewaambia wanibake hapo hapo...mbona wangeelewa
 
Leo asubuhi nimepita mahala nilikuwa nanunua household items nimekutana na wadada wawili mmoja muuzaji mwingine mteja. Wameniambia maneno magumu mpaka nimetamani ardhi inimeze palepale.

Nilivaa nguo na viatu vya mazoezi. Wale wadada wameanza kunichamba! wanasema sisi tukivaa kama wewe hamchelewi kutulaumu kuwa tunawatamanisha, mbona wewe hapo unatutamanisha tunatamani tukubake! was real schocked! sikuona kitu cha ajabu kuvaa bukta na singland nikiwa maeneo karibu na home. Sijawahi waza/kuambiwa maneno kama yale na walikuwa serious.

Nimeondoka kimyakimyaa kama nimedata fulani kwa kufedheheshwa kule na kupewa kisindikizo kuwa ninakoenda niwe makini nisibakwe!

Nimebaki najiuliza hizi nyapu nazo zinawaza kama wanaume?! Wadada nao wanakuwa na hisia na mwanaume kwa muonekano na mavazi? Nakemea hili pepo kwa jina la aliyesimamisha mbingu bila ya nguzo.

Wadada tulieni msubiri application, kazi ya kutamani achieni wanaume.
Hili tangazo usipowatafuna wadada sita hapa JF, nakushauri ukatambike.
 
mkuu ukisoma hapo mwishoni nadhani umeona kwamba nimeokoka.hao nawaachia nyie wenye visu vikali.huo sitoi maigizo humu fuatilia topic zangu ni true story.
 
Doh.... hii ndo kama ile Magufuli anakasirika kwenye "kuficha sukari". Yani unafanya uhujumu wa mwili hivihivi.

Wape warembo hawa sukari ya miili. Au kama vipi njoo tubadilishane nikupe huu mkitambi ili michuchu wakukimbie nami nikamate hizo six packs niwatendee haki kwenye baiolojia zao.
 
ah ah ah ah ah uhiiii, sasa wewe mwanaume umeona aibu ya nini, pole
 
hayo mambo mwachie DIAMOND sukari ya warembo.ww nenda gym utakuwa sawa tu.hawa wadada wanazaliwa kila siku tena wengi kuliko wanaume
 
ah ah ah ah ah uhiiii, sasa wewe mwanaume umeona aibu ya nini, pole
Tunatofautiana mkuu.walinifanya nijisikie niko uchi kwa maneno yao magumu.sikuamini kama nina nguo.kwani walinivua kwa maneno. niliende kununua mahitaji.sikufuata ngono/mazungumzo ya aina hiyo
 
Hii kali zaidi na bila Shaka utakuwa mwanaume wa dar.cc wa mikoani hapohapo tunacheza na nyavu maana nguvu zipo za kutosha
 
Ndiyo mkuu.Nipo Dar by design not default.wanaume wa DAR tunaangalia viwango hatuhangaiki na dead ball.
 
Tunatofautiana mkuu.walinifanya nijisikie niko uchi kwa maneno yao magumu.sikuamini kama nina nguo.kwani walinivua kwa maneno. niliende kununua mahitaji.sikufuata ngono/mazungumzo ya aina hiyo
duniani tunaishi watu tofauti, wakati mwingine inabid uyaache maneno jinsi yalivyo, bt kumbuka hata nyie huwa mnatuongelea meneno magumu tena kuliko hayo, bt pole
 
Ahsante Divine...
Ni kweli wanaume tunatabia hizo.sema sikuwahi kukutana na wadada walioamua kujibu mashambulizi kwa njia ile.
 
me hlo nalijua kitambo mbona wanawake pia wanatamani kugegedwa kwa kumuona tu mtu kwa physical apearance,me ni mtu wa mazoez sana sasa hapa scani kuna wapangaj wanawake wake za watu wengine wanaishi alone,natokaga kifua wazi na taulo time ya kwenda kubaf,nawaona wananiangalia sana maeneo ya katkat jins taulo lilivyotuna,kuna siku dada mmoja ni mke wa mtu na time hyo alikuwa mjamzito aliniambia et"nije nikusugue mgongo" nilishndwa kujua nijbu vp nikakaa kimya tu.najua ananitamani na had wanawake wenzake washaniambia kuwa ananitamani,tatzo ni mke wa mtu na mme wake tunaheshimiana sana so nampotezeaga tuu.la sivyo ningemtawanya mimi.
 
ndio maana wacheza mpira wengi wanachapa sana vimwana mtaani.
 
Umepewa ofa ya kubakwa na mabinti 2 bado unalalamika kweli kweliii!? Aah kweli wanaume wa Siku hizi bure kabisaaa na tusipoangalia Africa nzima wanaume tusiopenda kudhalilika tutabaki wawili (2) tu, Mimi na mh Zuma wa kwa zuru natal
hahahahaaaaaa.........
mkuu, nilikuwa nakunywa maji bado nusu nipaliwe kwa kicheko.......
 
Back
Top Bottom