Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,616
- 3,432
Mmm mtatua jamaniMtu niko zangu huko KWA wahdzabe na napanza zangu fuso kwenda kuchaji simu mjini harafu unataka nipokee simu hovyo hivyo[emoji849][emoji849][emoji849]sio kweli Jaman ee
Kupitia namba tumewavua Sana chupiUkimuelewa unampanga onspot unatema cheche, akili za siku hizi ukipewa namba ndio imetiki mmetoa wapi?
sikizingaKipiii
Zinduka analiwa..?Nlichojifunza kwa hawa viumbe nguo nyingi ni kuwa simu yake ispopigwa na wanaume, kila anayemwomba namba ana mpa ili tu uwepo usumbufusumbufu wa hapa na pale. Ila si kwamba kakuelewa. Akiwa ana waiting list labda ya watu 10 wote wanabaki kuwa status pending ila ana mmoja ama wawili ama wanne ndo wana confirmed status. Km mm mschana mdogo sana anatoksha kuwa mtoto wa kuzaa kanielewa kishenzi, tunagidana hata kwenye gari karibu kila siku almost mara nne hedi tano kwa week. Hajwahiniomba hela ila nikagia simu yake washkaji wanapigwa mizinga balaaa, akaniambia hao wamejipendekeza wwnyewe.
Unaanza na muamala kwanzaNyie kina dada acheni ujinga, kujidai na kujiona.
Unakutana na mdada unamuelewa unamuomba namba ya simu,bila iyana anakupa namba, uki-beep kweli simu yake inaita,kumaanisha amekupa namba ya ukweli.
Basi baadae ukianza kumtext hajibu sms, Wala hapokei call. Wadada wa kibongo acheni ujinga,kama hujamuelewa msela husimpe namba yako,maana mnatoa kwa moyo bila kulazimishwa.
Uzi tayari
Atakuona boyaUnaanza na muamala kwanza
Muache Kuna mwanajeshi nilkuwa namtombea demu wake ki masiharaZinduka analiwa..?
Umeonae ili azidi hongwa lazima atoe mwili hivyo azinduke demu anatoa pasi huyo anazugwaMuache Kuna mwanajeshi nilkuwa namtombea demu wake ki masihara
Nyie kina dada acheni ujinga, kujidai na kujiona.
Unakutana na mdada unamuelewa unamuomba namba ya simu,bila iyana anakupa namba, uki-beep kweli simu yake inaita,kumaanisha amekupa namba ya ukweli.
Basi baadae ukianza kumtext hajibu sms, Wala hapokei call. Wadada wa kibongo acheni ujinga,kama hujamuelewa msela husimpe namba yako,maana mnatoa kwa moyo bila kulazimishwa.
Uzi
Tatizo bhana mkipewaga namba nyie mnawaza kutongoza tuNyie kina dada acheni ujinga, kujidai na kujiona.
Unakutana na mdada unamuelewa unamuomba namba ya simu,bila iyana anakupa namba, uki-beep kweli simu yake inaita,kumaanisha amekupa namba ya ukweli.
Basi baadae ukianza kumtext hajibu sms, Wala hapokei call. Wadada wa kibongo acheni ujinga,kama hujamuelewa msela husimpe namba yako,maana mnatoa kwa moyo bila kulazimishwa.
Uzi tayari
Umeongea kwa uchungu'' sanaNlichojifunza kwa hawa viumbe nguo nyingi ni kuwa simu yake ispopigwa na wanaume, kila anayemwomba namba ana mpa ili tu uwepo usumbufusumbufu wa hapa na pale. Ila si kwamba kakuelewa. Akiwa ana waiting list labda ya watu 10 wote wanabaki kuwa status pending ila ana mmoja ama wawili ama wanne ndo wana confirmed status. Km mm mschana mdogo sana anatoksha kuwa mtoto wa kuzaa kanielewa kishenzi, tunagidana hata kwenye gari karibu kila siku almost mara nne hedi tano kwa week. Hajwahiniomba hela ila nikagia simu yake washkaji wanapigwa mizinga balaaa, akaniambia hao wamejipendekeza wwnyewe.
Tafuta mwingineHuyu dada kapuku Sana, nimemzidi kipato Sana, simu yenyewe kitochi
Au wewe ndiyo jamesi[emoji23][emoji23]
Jamaa mshamba huyoUmeonae ili azidi hongwa lazima atoe mwili hivyo azinduke demu anatoa pasi huyo anazugwa
Mie Sina BMW[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio huyu
Sijaona sehemu amesema ana BMW[emoji38][emoji38][emoji38]
Kabisa mbunye nyingi, huyu dada Ni kapuku Ila nimekubali msimamo wakeTafuta mwingine
Hivi ukinipa namba utajuaje nkikupgia nataka kukutongozaTatizo bhana mkipewaga namba nyie mnawaza kutongoza tu
Kuna masaa tunatoa namba ili kuongeza tu marafiki