Wadada mtusaidie hili

yuzazifu kuna siku tupo kijiweni tunapiga story za hapa na pale mara kaja jamaa amelewa na kila mara huwa anakunywa pombe sasa washkaji wakamuuliza mbona unapenda sana pombe akasema akinywa pombe nguvu zote zinaamia kwenye mashine,sasa baada ya muda kidogo mara Mke wake huyo,mke wake ni style ya wale wanawake wasiokuwa na aibu hata chembe,akaanza kuropoka wewe kazi yako ni kushinda tu vijiweni ukirudi umelewa unalala kama umekufa hata haki ya ndoa sipati miezi minne sasa nimechoka narudi kwetu!
Ikabidi tumtulize shemela pale na jamaa aibu ya mwaka ilimkuta hadi leo huwezi kusikia akiongelea habari za pombe na nguvu za kiume,na mke wake alisharudi kwao


Sent using IPhone X
 

Baanaaaa miiistaaakiiiiiii uuukooooooo aaaggghhhh husikiiiiii ntakusemea kwa mamaaa....

Maaamaaaa..... huku Kenzyy mchokoziiiii...... ananitongoozaaa......aahahahaahahaaa.
 
Hivi show za kibabe ndyo zipi , ni zile mpaka viungo vifuke moshi,maji yaitwe mma?, aargh mbaya tumieni tu uwezo wenu wa asili bila kutegemea viongeza nguvu nk.too much of everything is harmful.
Show za kibabe ni zile zinazoitwa samaki mkunje mpaka atoe kinyesi!
Au zile ukimaliza mpaka demu anakuuliza baby hivi kwanini naishi..??
Au anakuangalia hakumalizi halafu Kama anataka kulia ila halii,halafu anashusha pumzi nzito Kisha anaguna then anasema "ubinadamu kazi"
Ukimuuliza anamaanisha nini atasema hakuna kitu ila ondoka yake lazima aondoke huku kapindisha shingo dizaini fulani hivi!! Mabaharia tunasema "hiyo ndio Vita ya tatu ya dunia iliyobakia"πŸ˜‚
 
Hivi show za kibabe ndyo zipi , ni zile mpaka viungo vifuke moshi,maji yaitwe mma?, aargh mbaya tumieni tu uwezo wenu wa asili bila kutegemea viongeza nguvu nk.too much of everything is harmful.
mkuu lakini ipo tofaut?
 
Baanaaaa miiistaaakiiiiiii uuukooooooo aaaggghhhh husikiiiiii ntakusemea kwa mamaaa....

Maaamaaaa..... huku Kenzyy mchokoziiiii...... ananitongoozaaa......aahahahaahahaaa.
Ha ha! Tulia na wewe usimsumbue mama muache apike we njoo huku tucheze baba na mamaπŸ˜‰
 
Ha ha! Tulia na wewe usimsumbue mama muache apike we njoo huku tucheze baba na mamaπŸ˜‰


Aahahahahahahhaaaa uthidhime taa tuu, mi naogopa gidhaaa...aahahahahahahahaa
 
huyo itakua alikua na mgonjwa walevi wanapga nyapu sana, kuna jirani yetu daily alikua akimkimbia mumewe akilewa kisa anajua atanyanduliwa mpaka akome
 
Aahahahahahahhaaaa uthidhime taa tuu, mi naogopa gidhaaa...aahahahahahahahaa
πŸ˜‚πŸ˜‚
Bado tu mpk Leo unaogopa Giza!!
Okay mi ninamacho mazuri gizani usiogope ila nikizima usipige kelele utamshitua bi maza si unajua Tena alivyomkali πŸ˜‰
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
Bado tu mpk Leo unaogopa Giza!!
Okay mi ninamacho mazuri gizani usiogope ila nikizima usipige kelele utamshitua bi maza si unajua Tena alivyomkali πŸ˜‰

Hivi unajua nnavosemeshana na wewe hapa inapanda ashiki ya kuogelea...
Nawaza niende upande upi...kijichiii au gamboni....!!!
 
Hivi unajua nnavosemeshana na wewe hapa inapanda ashiki ya kuogelea...
Nawaza niende upande upi...kijichiii au gamboni....!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚ We Bibi umenifundisha tabia mbaya kijana wa watu! Siku nikitaka mke humu nitakosa maana si reply zako hizi dah! Mi sihusikiiπŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…