Wadada mtulie mnapokuwa jikoni


Baambie hao! Chakula ya muzee haipikwagi na h/gal
 
ngoja kwanza shem....twende polepole.....hebu snowhite.. cacico... Kaunga....nyie najua mnapikaga.....mkuje mnijibie shem wangu hapa.....mi bado nipo nipo saaaana.....

my dear mi hapa kwenye joko huwaga sina masikhara hivoo!
hili takozz naliweka chini kwa tuo mwali!
mamangu aliwahi kuniambia njia ya kwenda kwenye moyo wa mwanaume inaanzaa tumboni!
kwa hiyo mie jiko nalimudu hasaaaa!shurti kwa nazi na karanga,mafuta kwa kuchemsha,kuchoma na kubanika,kuoka na kufunika!
shem wako ana haki kabisa kuwa mkali! Judgement mwaya komaa hivo hivo upikiwe!
 
Last edited by a moderator:
ah sanaaaa!
hiii mamangu alikuwa anaita mtu unapikaje kwa mgongo!
na akisema hivo tayari una mbata (kibao)cha mgongoni !lol!
 
ah sanaaaa!
hiii mamangu alikuwa anaita mtu unapikaje kwa mgongo!
na akisema hivo tayari una mbata (kibao)cha mgongoni !lol!
mapishi yanahitaji utulivu ..,
Pongezi kwa mama aliyekufunda.
Hivi hiZi kitchen party za mijini wanawafunda kweli au zawadi 2.,?
 

Hakika we si mwalimu bora tu, bali pia mke mwema.
 
Last edited by a moderator:
Hivi show inaanza saa ngapi, maana nina maswali kama ya sh.buku jero hapa

Acha papara kama Bao la kwanza wewe.
Afu kiwe cha Alfajiri.
KINANOGAJEEEEEE................!!!!!!!!!!!
 
mapishi yanahitaji utulivu ..,
Pongezi kwa mama aliyekufunda.
Hivi hiZi kitchen party za mijini wanawafunda kweli au zawadi 2.,?

Hizo chicken party sijui.... hakuna lolote, mtu asifundwe siku zote akafundishwe ukumbini!???
 
Yaani kama le mutuz alivyo king of the media wa east and central africa, nathubutu kusema mie ni queen of multi tasking. Napika huku niko jf, fb, kwenye simu na naangalia tv. Na natumia majiko 3 kwa mpigo.

Kufumua nywele ama kukata kucha huku unapika ni uchafu (source:mama king'asti).

Kwani baba, shida yako si uletewe 5* food isiyo na vitunguu vilivyoungua. Ama unataka usimamie na process yote?
 
Kama hali ndo hii basi subirini kuletewa nyumba ndogo hapohapo nyumbani

Thubutuuuuuuuuuuuuu,
Labda hiyo nyumba ndogo iwe 'ndogo otherwise,
Wapiiiiii......!!!!!!!
 
mapishi yanahitaji utulivu ..,
Pongezi kwa mama aliyekufunda.
Hivi hiZi kitchen party za mijini wanawafunda kweli au zawadi 2.,?

simply siku hizi wanategemea sana h'girl na ndo chanzo cha konda kuwa driver.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…