Wadada msitulazimishe tuwaoe

Wadada msitulazimishe tuwaoe

Kwamba mimba ni kama kujikwaa na kuteleza ? Hakuna deed yoyote inayofanyika hapo katikati ?

Inabidi au madada unao - associate nao uweke mambo wazi kabla hamjafika mbali uzembe wenu usiwe tatizo la third party (kiumbe ambacho kitakuwa hakina makosa ya kuletwa na watu ambao ni ndivyo sivyo)
 
Ni kweli mwanamke inatakiwa awe makini Sana kwenye umri wa 20-25 kama ana Nia ya ndoa hyo umri asivuke ,mabinti wengi umri huu huwa wanatafutwa Kwa ajili ya ndoa ila wanaringa na vibeach boy na masponsor , akianza kupoteza nuru na attention kuanzia 26-30+ wanaanza kumkimbia ndo anarudi Kwa wanaume serious amejichokea , wengi wanaishia kuwa single mother ,
 
mZee umenikumbusha,mim niliwah kukamatwa na binti wa hvyo yaan yeye kala bata toka kamaliza std 7 kaliwa sana na wenye mikwanja zao katembea sana kwenye mihotel trip mbali mbali kipindi alivyoacha shule form 2

Mim nikakutana nae ana mtoto wa miaka 3,nikala mzigo baadae tukapotezana

Ile nimeanza na mim kuinjoy life kanitafuta ila nikamwambia sina mpango wa kuoa sasa,kanidanganya anakuja kucheck raman za biashara,bas nikamruhusu aje,kumbe mwenzang katega akajua ntanasa tu na kwel nilinasa

Mtoto anakuja kanawili hatar tako kama lote,bas tukaish,kwa akili yang nikajua huyu mjanja hawez kosa njiti,kumbe muda huo hana njiti na ndo maana kapendeza,mwez wa pili tu mimba

Alafu sasa akawa kama mwalimu mkuu sheria kama zote,wivu wa hatar karibu hata wa kuua,yaan raha zangu zote zikaisha kijana mwenzenu,nikaishi kama nipo gerezan
 
Ahahahaha
 
Tusiogope kuoa!akizingua unaoa Tena yaani unamuongezea mwenzake!!

Kuos ni Bora kuliko hit and run!!

Nimeoa was pili and am happy sana !!
 
Mwanamke agemate wako ambae alikukataa wakati ana miaka 21, atakujisogeza kwako akifika miaka 30.

Don't be a simp.
 
Kwamba mimba ni kama kujikwaa na kuteleza ? Hakuna deed yoyote inayofanyika hapo katikati ?

Inabidi au madada unao - associate nao uweke mambo wazi kabla hamjafika mbali uzembe wenu usiwe tatizo la third party (kiumbe ambacho kitakuwa hakina makosa ya kuletwa na watu ambao ni ndivyo sivyo)
Ni vyema kuwekana wazi tangu mwanzo, lakini mwanamke kama gatekeeper wa fertility na ndie atakakutana na consequences za unplanned pregnancy ndie anaetakiwa kuwa makini zaidi. Muda salama kwa mwanamke kuwa na uhuru wa kufanya maamuzi ya kushika mimba ni pale ambapo mwanaume anaefanya nae tendo amemuoa rasmi
 
mZee umenikumbusha,mim niliwah kukamatwa na binti wa hvyo yaan yeye kala bata toka kamaliza std 7 kaliwa sana na wenye mikwanja zao katembea sana kwenye mihotel trip mbali mbali kipindi alivyoacha shule form 2

Mim nikakutana nae ana mtoto wa miaka 3,nikala mzigo baadae tukapotezana

Ile nimeanza na mim kuinjoy life kanitafuta ila nikamwambia sina mpango wa kuoa sasa,kanidanganya anakuja kucheck raman za biashara,bas nikamruhusu aje,kumbe mwenzang katega akajua ntanasa tu na kwel nilinasa

Mtoto anakuja kanawili hatar tako kama lote,bas tukaish,kwa akili yang nikajua huyu mjanja hawez kosa njiti,kumbe muda huo hana njiti na ndo maana kapendeza,mwez wa pili tu mimba

Alafu sasa akawa kama mwalimu mkuu sheria kama zote,wivu wa hatar karibu hata wa kuua,yaan raha zangu zote zikaisha kijana mwenzenu,nikaishi kama nipo gerezan
Moja ya mambo ambayo hayaingii kabisa akilini mwangu ni kuwa baba wa kambo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom