sio kweli ..sio kweli kabisaaa"" kama hivyo usemavyo ni sahihi basiii Mandela angeshapoteza heshima yake baada ya kuamua kumuacha aliyekuwa mkewe winie Mandela "" Jamii itakuvunjia heshima endapo itaona kuwa unaachana na mke/mume kwa minajili ya kuendekeza umalaya( refer yaliyotokea kwa flora mbasha ""). na pia waweza kupoteza heshima ktika Jamii endapo mwenzako atakuwa anakufnyia usaliti na kutembea tembea na wanaume/wanawake hovyo .vitendo vyake viovu vitapelekea kukuvunjia heshima pia.hata familia yako inaweza ikakutenga..hapa ulipo waweza kuwa umeshapoteza heshima kwa watu kwasababu ya vitendo vya huyo gf wako ila kwakuwa huna desturi ya udadisi umeshndwa kulitambua hilo ...nililo likataa maishani mwangu ni leo kuwa na huyu kesho nipo na mwingine hiyo inakupunguzia heshima halafu kitu kingine hakuna mtu humu duniani asiyependa kupata heshima ya kuwa baba au mama katika familia.
Acha kupotosha mkuu, yaani mvuta bangi ni bora kuliko mtu aliyeokoka.....hizi akili za wapi ?....soma kwa makini uzi huu sjasema usiwe na mpenzi mwenye pesa ambaye hajaoa nilichosema wengi mnataka mapenzi na wenye pesa hata waliiooa ilimradi tu mpewe pesa lkn mwisho wa siku umri unawatupa ndo mnaanza kutaka kuolewa ilihali mwanzo mlitaka wenye pesa hata waume za watu.Nilipokuwa nasoma shule nilimpata mwanaume hata nguo hna nilimsaidi mpaka akajitambua akasoma akapata mzungu na akaniacha mimi nasaga viatu.
Wanaume maskini ndio wanashida kuliko wenye nazo.
Kwa hiyo bora mtu apate mtu wa saizi yake .
Tu tena nyie wanaume walokole kerooo kuliko wavuta bangii.
Mnakero shida ukiwa nao nitabu tupu ukiolewa nao watoto wanachanganyikiwa hamtajielewa mnataka nini .
Yaani bora ule raha upewe kila kitu .
Uwachune wakuchune basii uolewe muda ukifika watu ni hovyo unaweza kuwa namtu mzima unadhani mnapanga maisha kumbe kachanganyikiwa.
So becareful sio unatusema huku nyie ndio mnatabu.
nililo likataa maishani mwangu ni leo kuwa na huyu kesho nipo na mwingine hiyo inakupunguzia heshima halafu kitu kingine hakuna mtu humu duniani asiyependa kupata heshima ya kuwa baba au mama katika familia.
bab "" ndoa sio kama mahusiano ya bf/gf ""halafu sikatai kuwa sio kwamba hzo sio tabia za. baadhi ya wanawake lakini sio kwakiwango hcho ndugu ..mwanamke umemfuamania zaidi ya Mara 3 kisha wataka kumuoa ..jiandae kuletewa watoto ambao sio damu yako ..
jiandae kugongeawa na mdogo/kaka yako "" huyo inaonekana umalaya unazunguka kwenye misuli mishipa yake ya damu " kuhusu hilo laupataji pesa ...kupata pesa nijiuhudi zako tu na maarifa pamoja na mipango imara basiiiii" pesa huwa haipatijlkani kwa huo mtazamo maybe uwe umekwenda kwa MGanga then ukaambiwa uitumie nyota yake ...then kama hali ndio iko hivyo kama usemavyo means Siku akikuacha basiii uwe Tayari kujiaandaa kuishi ktk maisha ya dhiki
Ndio umewahi kuishi na walokole waukweli?Acha kupotosha mkuu, yaani mvuta bangi ni bora kuliko mtu aliyeokoka.....hizi akili za wapi ?....soma kwa makini uzi huu sjasema usiwe na mpenzi mwenye pesa ambaye hajaoa nilichosema wengi mnataka mapenzi na wenye pesa hata waliiooa ilimradi tu mpewe pesa lkn mwisho wa siku umri unawatupa ndo mnaanza kutaka kuolewa ilihali mwanzo mlitaka wenye pesa hata waume za watu.
kijana hataki kuelewa "" anasema demu wake amewahi kumfumania Mara 3 kwa ushahidi wa macho Yke mwenyewe...na Mara nyingine ni kwakusikia ama kuhisi ..nampka leo bado yupo naeDah mwanamke akiwa malaya anakata stim kinoma
Anakuambia ukweli walokole wanatesa mtu ukimkosoea nakufungulia biblia .Ndege wafananao huruka pamoja. Kama chaarusha unatumia mkuu basi mvuta bangi utafaana nae
Kwa hiyo bora mvuta bangi akizivuta anakutupia mabegi nje na ngumi juu ?Anakuambia ukweli walokole wanatesa mtu ukimkosoea nakufungulia biblia .
Anakutesa nakuambia Mungu hapendii.
Ukichellewa kupika acheni kwanza tuombee halafu ndio uendelee kupika ulikuwa wapi usipike unapewa tena mistari nikali.
Etiii jamani.
Wala kwani walokole wangapi wanakimbiwa?Kwa hiyo bora mvuta bangi akizivuta anakutupia mabegi nje na ngumi juu ?
Hahahahah *****, wakati kuna ambao wakifichiwa simu tu wanaaga kimya kimya kumbe kuna ambao wanashuhudia usaliti kwa macho makavu guest unafumania halafu unasamehe tu. Wonders shall never end!!!Anastahili tuzo ya juu ya UVUMILUVU.
Dah kuna wadada mpogo down on earth kinoma yani...venye mpo super submissive kwa fasi ya bigidii loveeee!si kweli...mimi nilimvumilia wangu since tupo chuo hadi tukamaliza...
tukaingia kitaa wote tukiwa jobless...nlimtia sana moyo mana i had hopes ipo siku tutafanikiwa...
na i tried so hard not to put pressure into his life...
sikua nikimuomba pesa na wala pia sikuwa na haraka ya mafanikio...
sikuwahi kumcheat and i loved him like he was the last man on earth...
and in return he dumped me...kisa he doesn want to get married...
nikamwambia ndoa aint a big deal so long as tunapendana kama ipo ipo tu...mara oh sitaki kua kwenye mahusiano kwa sasa...so wewe move on tu kama nlivofanya mimi...sitaki kukupotezea muda...
nkamwambia muda wa kwenda wapi....namuuliza wasnt I good enough for you??? eti no your were great...nilikukosea kitu? no...sasa shida ikwapi...
Sometimes unajitoa kila hali kwa sababu ya upendo ila mwisho wa siku ni maumivu tu...
Mana nlikua pia nampa ideas za biashara...matangazo ya kazi namtumia...
Sometimes hivi vitu havina formula...
Jamaa ana moyo wa huruma sana, overnice guy!kijana hataki kuelewa "" anasema demu wake amewahi kumfumania Mara 3 kwa ushahidi wa macho Yke mwenyewe...na Mara nyingine ni kwakusikia ama kuhisi ..nampka leo bado yupo nae
mkuu huo sio huruma ni ujinga ..kama angekuwa na huruma asingekuja kuonyesha hisia zake za maumivu hapa ""Jamaa ana moyo wa huruma sana, overnice guy!
Yani mie ni provide still uni cheat, sifanyagi huo upumbavu maisha yangu yote!