Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
Kaa as natural as possible. Kama kawaida yako unavaa suti mara 5 kwa wiki usilazimishe short and sandals.
Nataka nikuone kama ulivo, hakikisha upo comfortable.
Wanapenda hata utoke uchi lakini mradi uwe na vijisenti.
Akiwa na mwonekano wa no 2 hapo,Wana MMU,
Wote mnafahamu umuhimu wa first impression especially kwenye ki date. Kipindi nina date date nilikuwa kabla sijatoka lazima nijicheki jicheki najiuliza atanionaje nikivaa hivi?
Nauliza wadada hivi ni swaga zipi kwenye First date utazifagilia? (Assume ni weekend )
1)Casual simple (Mshikaji katupia Jinzi na shati mkono mrefu na snickers au viatu casual)
2)Simple kawaida(Jinzi na Tshirt simple tu labda na saa mkononi , chini viatu casual au snickers)
3)Formal ( First date jamaa katupia suti tayari, halafu we binti unatokea na jinzi na T-shirt :lol🙂
4)Too simple ( Kaptula , sandels na T-shirt)
5)African attire (Jamaa katupia kanzu ya ki Nigeria, au shati lina picha za pundamilia na sandels)
6) Official kidogo (Shati na suruali kitambaa kachomekea , chini moka)
7)Complicated (Mchizi kaweka suruali tumboni (Papaa ya motema na bandeko), Viatu vya bluu, shati la njano ,suruali nyekundu)
8)Cheki bobu aka Sharobaro (Jamaa kaja na suruali zao hizi za pinki, T-shirt yani inambana baala, Viatu vyao vile vya ulimi nje kama mbwa wa polisi):biggrin:
wadada tupeni maujanja basi.
mtu anakuja katoka na mikanzu ya kinaigeria eti,usafiri bajaji jamani ? khaaano 1 na 2 imetulia,
ila jitahidi kuwa ww yan sio unaleta pozy za kina kanumba tena. be yourself . usifake fake mambo sio ishuu.
jibu swali sisMimi napenda mwanaume anaeweza vaa vyovyote vile... for ni gurantee kua anaweza mazingira yoote na anaishi according to circumstances... nataka ikiwa weekend tumeenda for a stroll avae casual, napenda kama anaenda ofisini na ni ofice work avae formal, napenda kama ni field work avae ki-field work (ambayo mara nyingi ni casual OR Formal casual napendaga kuita) napena kama tutaongozana tunaenda kwenye sherehe kama ni cock tail basi atoke na suit ya Cock tail, napenda kama siku hio twaenda kuangalia shamba letu avae casual na ikiwezekana atupie hata shamba boots, napend kama kashinda siku hio nyumbani awe free na awe him self, kama atavaa kaptula/pensi, kama atavaa mshipi then well and good. Na of coz sitapenda avae chochote kama ni usiku (I kid). Enways mwanaume wa kung'ang'ania vazi la aina moja tu kila mahala... It tells a lot na pia inafanya kua awe anachemka saana.
wengine wanajifukiza na udimie napenda mwanaume anaevaa kutokana na mazingira, pia awe ananukia manukato ya hadhi, sio mtu katokea ananukia utadhani kajipulizia expel
jibu swali sis
Nauliza wadada hivi ni swaga zipi kwenye First date utazifagilia? (Assume ni weekend )
wengine wanajifukiza na udi
unajua kikuba wewe??? baada ya udi unaziba pale na ua ridi, looo zenji nitarudi tenawengine wanajifukiza na udi
loooh!smile umenchekesha du~~~~~~~~~napenda sana mwanaume anaevaa simpe tshirt jeans na sendomisuti na moka yaani lazima nimkimbie craaaap