DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Nkupenda pia ila usiwe sukar mamaTunawapenda kama nyie mnavyopenda dogodogo..
Nkupenda pia ila usiwe sukar mamaTunawapenda kama nyie mnavyopenda dogodogo..
Sawa lakini naskiaga prectical ndio watu wanaelewaga zaidi.Utamu wa dyudyu ndo inampa ujasir mtoto wa kike kulea mwanaume...nazan apo umenelewa
Mwanaume mvivu hafai kwa Taifa!! Unafikiri huwa wanaridhika au hakuna namna!! Hatuwasumbui ila vinatia aibu, hivi wazazi wao wakitaka support kwao huwa inakuwajee, mpaka waombe kwa bi mkubwaa!!!Jaman mtu kama ameridhika na kiben10 chake aachwe. Wanao taka wachapa kazi na walo wazidi umri nao waachwe.
Ilimradi hatusumbuani kwenye maisha yetu ya kila sku
Agata mambo ebu tuendelee jamani tulipoishia ile juziSi wewe nimekufuga
Ni ajabu mwanaume rijali kujadili mambo ya hiviMwanaume ndio kichwa cha nyumba, wewe unamgeuza mwanaume kuwa pet wako, kama paka au mbwa.
Eti unajitolea kumtunza, kumlisha na kumvisha, hivi wewe dada ni Nani hadi unaenda Kinyume Na agizo la Mungu? Mwanaume aliumbiwa kula kwa jasho, sio kuletewa Na mwanamke.
Mwanaume anatakiwa awe Na hekima, busara Na nguvu, hivyo vibeten havina akili hata moja vinafikiria kunyonya mbunye tu Na kupiga gemu, havijui hata bei ya tofali, kamwe hamuwezi kuendelea kwa kugegedana.
Halafu huto tuvulana mnatudhibiti Na malimbwata, mama weee, Mungu anawaoneni mnavyowafanyia watoto wa wenzenu na kuwageuza sex slaves.
Endeleeni tu Ila yana mwisho
Haa haa na yenyewe co kunifugaSi wewe nimekufuga
I misi yuu jolieNgoja waje wakina shuga mami
Hatuwezi kuwaacha bwanaJaman mtu kama ameridhika na kiben10 chake aachwe. Wanao taka wachapa kazi na walo wazidi umri nao waachwe.
Ilimradi hatusumbuani kwenye maisha yetu ya kila sku
Ni nzuri jamani... UpoooZa siku jamani
Haaaa!Hatuwezi kuwaacha bwana
Nilikumiss ujueNipo Dada sakayo
Hahah stop thatShikamoo!
Salama mamy za wewe miss uZa siku jamani
Mungu akufanyie wepesi mnooo biashara ngumu mnooo yaan Mungu atusaidieBiashara ngumu!
bhibhi.. nakuthalimia tudyudyu haijawai kuwaacha salama..kna dada