Wadada mnaolea ''viben10'' ni nani aliyewaroga?

Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.

Kwani wewe Bujibuji umekataliwa na mwanamke mwenye ki Ben Ten?

Unataka kumchagulia mwanamke mwanamme gani awe naye?
Wanaotetea mabenten ni mabenten
Kiranga anatetea mabenten
Kiranga ni benten
LOGIC
 
Wanaotetea mabenten ni mabenten
Kiranga anatetea mabenten
Kiranga ni benten
LOGIC
Good try.

Your logic has a non sequitur.

Kiranga anatetea sana wanawake.

Kwa msingi wako utasema Kiranga mwanamke.

Kama unasema hivyo, mpe Kiranga mama yako alale naye usiku mmoja halafu muulize mama yako kama Kiranga mwanamke.
 
Bro kumbe na wewe huwaga hujaribiwie? [emoji23]
 
Mwanaume ndio kichwa cha nyumba, wewe unamgeuza mwanaume kuwa pet wako, kama paka au mbwa.

Eti unajitolea kumtunza, kumlisha na kumvisha, hivi wewe dada ni nani hadi unaenda kinyume na agizo la Mungu? Mwanaume aliumbiwa kula kwa jasho, sio kuletewa na mwanamke.

Mwanaume anatakiwa awe na hekima, busara na nguvu, hivyo viben ten havina akili hata moja vinafikiria kunyonya mbunye tu na kupiga gemu, havijui hata bei ya tofali, kamwe hamuwezi kuendelea kwa kugegedana.

Halafu huto tuvulana mnatudhibiti na malimbwata, mama wee, Mungu anawaoneni mnavyowafanyia watoto wa wenzenu na kuwageuza sex slaves.

Endeleeni tu ila yana mwisho
Mbona povu jingi umekataliwa nini?
 
Acha wageuzwe maana wanauza uanaume wao.Jitu na nguvu zake linawekwa ndani linalelewa mtaji kiuno hakuna upendo ilimradi tu lipate mteremuko.
 
Back
Top Bottom