Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,422
- 1,254
makubwa
Anko gani? Natafuta kiben10 mie.Kwahiyo bando ndio tatizo auntie mbona anko yupo halafu huwa nakulindia anatongoza mnoooo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Daby kapotea babu asprin anasema ndio Abdul nondo toka apotee Abdul na Daby kapotea
Huyo abdul ndio nani tena mwanangu?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Daby kapotea babu asprin anasema ndio Abdul nondo toka apotee Abdul na Daby kapotea
Auntie jaman si mwanafunzi wa chuo aliyekamatwa polisi wakasema alijiteka mwenyeweHuyo abdul ndio nani tena mwanangu?
Mweeeeh! Kweli nimezeeka.Auntie jaman si mwanafunzi wa chuo aliyekamatwa polisi wakasema alijiteka mwenyewe
Zimefika mjukuu[emoji4]bhibhi.. nakuthalimia tu [emoji124] [emoji124]
bado unaolewaga tu?
mwambie huyo mzee nitamharibia uzee wake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Daby kapotea babu asprin anasema ndio Abdul nondo toka apotee Abdul na Daby kapotea
DuhHakuna ndoa ya namna hiyo ikadumu.
Ikiwa misingi imeharibika mwenye haki atafanya nn?
Acha tu wavune wanachopanda
WaiteeeeeIli swali lingewafaa sana kina nisha irene na jack
Tunawapenda kama nyie mnavyopenda dogodogo..