Wadada mnaolea ''viben10'' ni nani aliyewaroga?

Mwanaume ndio kichwa cha nyumba, wewe unamgeuza mwanaume kuwa pet wako, kama paka au mbwa.

Eti unajitolea kumtunza, kumlisha na kumvisha, hivi wewe dada ni nani hadi unaenda kinyume na agizo la Mungu? Mwanaume aliumbiwa kula kwa jasho, sio kuletewa na mwanamke.

Mwanaume anatakiwa awe na hekima, busara na nguvu, hivyo viben ten havina akili hata moja vinafikiria kunyonya mbunye tu na kupiga gemu, havijui hata bei ya tofali, kamwe hamuwezi kuendelea kwa kugegedana.

Halafu huto tuvulana mnatudhibiti na malimbwata, mama wee, Mungu anawaoneni mnavyowafanyia watoto wa wenzenu na kuwageuza sex slaves.

Endeleeni tu ila yana mwisho

Mkuuu kuna wadada wameumbwa na roho za kiume ...........
 
Mboo ya mama ako, nawaheshimu saaana wanawake wa hivo ndio waliontoa maisha!!, kitu kama hukijui kwa undani kiacheeee
 
Hakuna ndoa ya namna hiyo ikadumu.

Ikiwa misingi imeharibika mwenye haki atafanya nn?

Acha tu wavune wanachopanda
 
Back
Top Bottom