Wadada mnaolea ''viben10'' ni nani aliyewaroga?


Sakayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
35,314
Likes
102,866
Points
280
Age
30

Sakayo

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
35,314 102,866 280
Jaman mtu kama ameridhika na kiben10 chake aachwe. Wanao taka wachapa kazi na walo wazidi umri nao waachwe.
Ilimradi hatusumbuani kwenye maisha yetu ya kila sku
Mwanaume mvivu hafai kwa Taifa!! Unafikiri huwa wanaridhika au hakuna namna!! Hatuwasumbui ila vinatia aibu, hivi wazazi wao wakitaka support kwao huwa inakuwajee, mpaka waombe kwa bi mkubwaa!!!
 

aganza

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2017
Messages
1,488
Likes
2,988
Points
280
Age
30

aganza

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2017
1,488 2,988 280
Mwanaume ndio kichwa cha nyumba, wewe unamgeuza mwanaume kuwa pet wako, kama paka au mbwa.
Eti unajitolea kumtunza, kumlisha na kumvisha, hivi wewe dada ni Nani hadi unaenda Kinyume Na agizo la Mungu? Mwanaume aliumbiwa kula kwa jasho, sio kuletewa Na mwanamke.
Mwanaume anatakiwa awe Na hekima, busara Na nguvu, hivyo vibeten havina akili hata moja vinafikiria kunyonya mbunye tu Na kupiga gemu, havijui hata bei ya tofali, kamwe hamuwezi kuendelea kwa kugegedana.
Halafu huto tuvulana mnatudhibiti Na malimbwata, mama weee, Mungu anawaoneni mnavyowafanyia watoto wa wenzenu na kuwageuza sex slaves.
Endeleeni tu Ila yana mwisho
Ni ajabu mwanaume rijali kujadili mambo ya hivi
Au ulitaka vi Ben 10 vikuchukue wewe?
 

Forum statistics

Threads 1,203,874
Members 457,010
Posts 28,132,843