[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Unajua kirahisi rahisi hivi hivi mtu mzima anaweza kuweka mazingira ya watu kuanza kuteta kwamba anaona wivu na yeye anataka kuwekwa kama ki Ben Ten.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Njoo kiben10 changu
Sasa yule ni seriousHivi yule ni mhenga eeeh
AuntieMjilaumu nyie wanaume, acha tu tuwaoe maana sijui nani kawaroga.
Sasa ndio umegoma kunielekeza kabsa mwenzio?Mmmmmmmh[emoji57] ayaaaa
HahahaSasa yule ni serious
Mwanaume ndio kichwa cha nyumba, wewe unamgeuza mwanaume kuwa pet wako, kama paka au mbwa.
Eti unajitolea kumtunza, kumlisha na kumvisha, hivi wewe dada ni Nani hadi unaenda Kinyume Na agizo la Mungu? Mwanaume aliumbiwa kula kwa jasho, sio kuletewa Na mwanamke.
Mwanaume anatakiwa awe Na hekima, busara Na nguvu, hivyo vibeten havina akili hata moja vinafikiria kunyonya mbunye tu Na kupiga gemu, havijui hata bei ya tofali, kamwe hamuwezi kuendelea kwa kugegedana.
Halafu huto tuvulana mnatudhibiti Na malimbwata, mama weee, Mungu anawaoneni mnavyowafanyia watoto wa wenzenu na kuwageuza sex slaves.
Endeleeni tu Ila yana mwisho
Na me nimejibu pia jamaniHahaha
Nimeuliza tuu mimi jamani
Hahaha, mkuu unakumbuka vibwagizo vyote.Karibu sana boss kilingeni
Kiranga cha ngeda sangala kadumbwa
Wa mkuranga[emoji2]
HahahaNa me nimejibu pia jamani
Kama T tuHahaha
Yelewiiiii
Jaman mtu kama ameridhika na kiben10 chake aachwe. Wanao taka wachapa kazi na walo wazidi umri nao waachwe.Kumlea mtoto wa mwanamke mwenzio yataka moyo!! Halafu vinajua kudekaa, havifanyi kazi yaaani wengine utaona wanaoshwa na kucha kabisa ka wanawake!! Waone kwanza!
Eti wanasema wanalitafuta joto lile lile la damu changa wanalolifata wanaume kwa vi -schana!..Mwanaume ndio kichwa cha nyumba, wewe unamgeuza mwanaume kuwa pet wako, kama paka au mbwa.
Eti unajitolea kumtunza, kumlisha na kumvisha, hivi wewe dada ni Nani hadi unaenda Kinyume Na agizo la Mungu? Mwanaume aliumbiwa kula kwa jasho, sio kuletewa Na mwanamke.
Mwanaume anatakiwa awe Na hekima, busara Na nguvu, hivyo vibeten havina akili hata moja vinafikiria kunyonya mbunye tu Na kupiga gemu, havijui hata bei ya tofali, kamwe hamuwezi kuendelea kwa kugegedana.
Halafu huto tuvulana mnatudhibiti Na malimbwata, mama weee, Mungu anawaoneni mnavyowafanyia watoto wa wenzenu na kuwageuza sex slaves.
Endeleeni tu Ila yana mwisho
Utamu wa dyudyu ndo inampa ujasir mtoto wa kike kulea mwanaume...nazan apo umenelewaSasa ndio umegoma kunielekeza kabsa mwenzio?