Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,110
HahahahaHawa wazee wengine wanafanya watu wafikiri kwamba washachukuliwa vimada wao na vi Ben Ten, ndiyomaana wana hasira navyo.
I mean seriously, mimi Baba Ubaya nina mke wangu tunaishi vizuri, mtaa wa pili mwanamke akichukuliwa na ki Ben Ten inanihusu nini mimi kama si umbea tu?
Kuna vitu vingine inatakiwa mtu kama humtafii hela usimpangie namna ya kula.
Let them be, ukute wao viben 10 ndio vinakamilisha furaha ya maisha yao.