wadada mna roho mbayaa

wadada mna roho mbayaa

WADADA MNA ROHO MBAYA,

watu bwana tuwe mama huruma kila anayetamka nakupenda uende kisa usiambiwe una roho mbaya
 
Mkikubaliwa mapema ohh! wanawake malaya sana, safi sana,kwanza siku hizi hamna mambo ya kubembeleza ukitongoza ukikataliwa na hamna hata dalili za sitaki nataka ujue hupendwi chapa lapa,siku hizi wapo watu maalumu wanaokidh haja zenu we nenda kawatafute!
 
Jamaa yangu mmoja kamtongoza mdada tangu mwaka jana hadi mwaka mpya umeingia hajakubaliwa. Mwaka mzima anatongozwa.
Kwa nini usingemshauri huyu jama yako aachane na mwanadada huyo? Kwa nini alazimishe mahali ambapo 'hapalipi'? Mwaka unakataka na yeye anatongoza tu! Hana jingine la kufanya?
 
Back
Top Bottom