wadada mna roho mbayaa

wadada mna roho mbayaa

Dengue

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
2,050
Reaction score
1,469
Jamaa yangu mmoja kamtongoza mdada tangu mwaka jana hadi mwaka mpya umeingia hajakubaliwa. Mwaka mzima anatongozwa.
 
31 Dec 2012 hadi 01 Jan 2013...
Unamaanisha hivyo??
 
Hajakubaliwa maana yake nini? Huyo jamaa yako anayo matatizo ya "kiakili"?
 
Jamaa yangu mmoja kamtongoza mdada tangu mwaka jana hadi mwaka mpya umeingia hajakubaliwa. Mwaka mzima anatongozwa.

Ni jamaa yako au ni wewe mwenyewe? Kama ni jamaa yako kwanini wewe ulete uzi huu hapa?
 
labda hana vigezo au hajui techniques za kutongoza!
 
huyo ----- kweli...mwanamke anatongozwa na kugegedwa ndani ya wiki tatu...failure to that abort mission!!!!

hamna nchi iliyowahi faidika kwa kupigana vita ya muda mrefu
 
huyo ----- kweli...mwanamke anatongozwa na kugegedwa ndani ya wiki tatu...failure to that abort mission!!!!

hamna nchi iliyowahi faidika kwa kupigana vita ya muda mrefu

Hahahhahah
 
Jamaa yangu mmoja kamtongoza mdada tangu mwaka jana hadi mwaka mpya umeingia hajakubaliwa. Mwaka mzima anatongozwa.

rafiki yako ndo yulle anaeitwa "@Hud"?
 
Hana hilo tatizo ila kamzimia saana huyo binti.
Jamaa yako nam-consider kama CHIZI fulani. Kawaida binadamu huwa anaanza ku-LIKE then mahusiana yanapojengeka ndio LOVE inapoanza kujengeka, hiyo kusema kamzimia sana ni kichekesho kwa sababu hajawahi kuwa nae kwenye mahusiano,na akumbuke kuwa anaweza asimtamani tena baada ya kumgegeda mara moja tu, hivyo huwezi ku-confirm kuwa kamzimia sana.

Ye atasubiri sana wakati wengine wanajigongea kitu tartiibu. KAROGWA huyo au ndo anajifunza
 
Back
Top Bottom