Wadada mmezidi kuiga mambo ya wanaume.


wapi iliandikwa kuwa hayo ni mavazi ya kiume?
 
Mbona na 0713......mmeiga? Tumewaangalia tu tunanyanganyana wote wanaume

Jamani hapa tunaongelea mavazi na sio tamaa za kimaumbile, mbona mwataka anzisha mada juu ya nyingine? Na wanaokoboana we hujawaona?
 

They're psychologically unsatisfied with their sex. Tuwahurumie viumbe dhaifu hao. Bila kujielewa, wanatukuza hali ya kiume na kuponda hali yao ya kike. Ila wanaboa tu, wao wakidhani ndio kwenda na wakati, maskini!
 
sie hatuhitaji na tunaridhika na tulivonavo, ila nyie ndugu zetu mwazidi sasa hebu kuweni na mcmamo.

Eti mmeridhika!
Hivi hamjijui kama nyie ndo sababu ya vitu vya urembo kutengenezwa kwa kasi sana siku hizi?
Lipshine/lipstick zenyewe mshatumalizia madukani!
 
They're psychologically unsatisfied with their sex. Tuwahurumie viumbe dhaifu hao. Bila kujielewa, wanatukuza hali ya kiume na kuponda hali yao ya kike. Ila wanaboa tu, wao wakidhani ndio kwenda na wakati, maskini!

Thanx mkuu kwa kulitambua hilo, na majibu yao humu wanaonyesha tu kutojielewa.
 
Eti mmeridhika!
Hivi hamjijui kama nyie ndo sababu ya vitu vya urembo kutengenezwa kwa kasi sana siku hizi?
Lipshine/lipstick zenyewe mshatumalizia madukani!

Kalolipop bana unanivunja mbavu, yani janaume zima linajipiga lipstick, we ni mwongo!
 
Ebu chukua kimini uvae na high heels, ndo utagundua tofauti yenu na yetu!

sasa nivae vya nn wakati najua sio desturi yangu? Na atakayevaa basi huyo atakuwa na tatizo.
 
wapi iliandikwa kuwa hayo ni mavazi ya kiume?

Mamito nawe lazma utakuwa mvaaji mzuri wa boxer, mbona wataka bishana na ukweli? Kwa hiyo we unavyojua hakuna vazi la kike wala la kiume?
 
Mamito nawe lazma utakuwa mvaaji mzuri wa boxer, mbona wataka bishana na ukweli? Kwa hiyo we unavyojua hakuna vazi la kike wala la kiume?

ndugu wala sivai boxer, ila wapi iliandikwa nguo hizi za kiume hizi za kike????
 
ndugu wala sivai boxer, ila wapi iliandikwa nguo hizi za kiume hizi za kike????

Kwa hiyo mie nikivaa kipedo, skintight, kitopu, blauzi itakuwa powa tu sababu haijaandikwa, si ndivyo?
Halafu dada yangu wantia aibu hivi hujawai ona nguo zimeandikwa kabisa hizi ni ladies wear or men's wear?
 
wapi iliandikwa kuwa hayo ni mavazi ya kiume?

@BT ukingojea maandishi ya kila kanuni uletewe kwenye kisosi , sometmys itakua kama unasubiri maji yajae kwenye ndoo iliyotoboka!
Ushawahi ona wapi maandishi ya mhamasisho kwamba wanawake wasagane? Jibu litakua No! Na je? Hawapo wasaganao?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…