hahahhahaha! unanipa raha sana ndugu yangu! hiyo kitu kali we hujaisoma tu!!!
..achana nao wazushi...jamani kwani ikoje?lol!
na nisiisome kabisa; naona kuna wanao-mind mimacho ya hivyo walishaomba uwaPM - endelea na hao; mi naenda zangu kupata moja baridi / nyama choma n.k
..achana nao wazushi...
..si tufanye yetu..umeona ee! maana naona naandamwa utafikiri nini! asante dia!
..si tufanye yetu..
Proof of global warming View attachment 88450
Mbona bado tunavaa??
Mie nimevaa ya kijani
hio inaitwa tube lesswe unasema underskirt? Huoni hata ch..u..pi zimepunguzwa kitambaa sana, vimebaki vimkanda tu wenyewe wanaita bikini. Soon nazo wataacha siunajua tayari wengine hawavai kabisa?
Si vibaya kushangaa hata mm hupanda sana kushangaa
Me navaa andasketi, skintait na pichu nikiwa nimevaa skirt isiyo na lainingi!Wakat tunakua, wasichana walikua wakivaa sketi, lazima ndani kuwe na sketi laini (andasketi) kwa ajili ya kujisitiri! Siku hizi sion andasketi zikivaliwa, au hata madukani zikiuzwa! Kulikoniiiii???Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Wakat tunakua, wasichana walikua wakivaa sketi, lazima ndani kuwe na sketi laini (andasketi) kwa ajili ya kujisitiri! Siku hizi sion andasketi zikivaliwa, au hata madukani zikiuzwa! Kulikoniiiii???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Chupi zile zenye kujaza umbo lake lote ni kama nazo zinapitwa na wakati. Wameamia kwenye mabikini. Wanaficha mashavu tu Ooh Mungu wangu tunapoelekea
mkuu mimi mwenyewe bado najiuliza au yuko pale kwenye zile scan za airport!!Hata mie niko puzzled.....ina maana kuwa jamaa ni gate keeper anayefunua kila mdau anayepita kwenye anga zake...lol!
Babu DC!
Wakat tunakua, wasichana walikua wakivaa sketi, lazima ndani kuwe na sketi laini (andasketi) kwa ajili ya kujisitiri! Siku hizi sion andasketi zikivaliwa, au hata madukani zikiuzwa! Kulikoniiiii???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
vimini na andasketi ni kama baskeli kufungwa injini ya gari.Wakat tunakua, wasichana walikua wakivaa sketi, lazima ndani kuwe na sketi laini (andasketi) kwa ajili ya kujisitiri! Siku hizi sion andasketi zikivaliwa, au hata madukani zikiuzwa! Kulikoniiiii???Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums