miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Bora wewe bi mkubwa umeelewa...halafu hebu jaribu kutafuta na kioo cha kujitazamia huko kama mnavyotembea na vile vyenye pouda vya kujitazama risepsheni zenu...
sawa kaka nashukuru
Bora wewe bi mkubwa umeelewa...halafu hebu jaribu kutafuta na kioo cha kujitazamia huko kama mnavyotembea na vile vyenye pouda vya kujitazama risepsheni zenu...
Duuuuh! hii ndio naisikia leo, sasa kama ni hivyo kwa nini mnang,ang,ania karolaiti?
Wanaume wa aina hiyo hawapo????unapoongelea swala la usafi jaribu kuBalance mambo na sio kuwa bias sawa eeeehhhh????
Bora aliyekomaa kwa wembe.....wapo wanaume wakivaa vest zao fulu kichaka tena cha njano waweza sema mvii si mvii rangi ya shabaaa lol!!!!!
ndio nyie nyie boxer unavaa miezi hapo kiunoni usafi ni kila mtu sio kujustify hata kidogo usafi i kila mtu na sio jinsia .Una jifananisha wewe mwanamke na wanaume? haujui kua nyie ni mapambo ya dunia? usitake kujustify uchafu wenu eti kisa wanaume na wao wako hivyo mnatia aibu nyie watu jirekebisheni.
usafi ni kila mtu na sio jinsiaSasa kama nyie wachuchu wao kunyoa hamnyoi na kutema mwatemesha...hao wanaume watakuwa katika hali gani??
usafi ni kila mtu na sio jinsia
Aiseeeeeeee. Mbona lugha uliotumia ni kali sana?
usafi ni kila mtu na sio jinsia
ndio nyie nyie boxer unavaa miezi hapo kiunoni usafi ni kila mtu sio kujustify hata kidogo usafi i kila mtu na sio jinsia .
Hehehhe,duuh hamna thread ilonchekesha km hii,wanaume mmefunguka bwn
so tru,mi binti lakn jmn nimsapoti mtoa mada,wadada wavaa vesti wengi majanga plus
tips kdogo nigawe kuimprove situation:km kwapa jeusi sana paka diproson litatakata,oga vzur,usipende kurudia nguo,sugulia kpande cha limao b4 kuoga atlst once o twice a week inakata harufu kabisa ht ucpotumia deodorant o perfume,na mwsho waxing,hzo hela tafuta tu mana knadada ndo wapga vbomu,waxing is better thn shaving,ngozi inabak km ya mtoto,kumbuka sura ya kwapa ina'reflect sura ya K,#mwanamke usafi kwanzaa
Bora wewe bi mkubwa umeelewa...halafu hebu jaribu kutafuta na kioo cha kujitazamia huko kama mnavyotembea na vile vyenye pouda vya kujitazama risepsheni zenu...
Unakuta mdada kavaa kitop halafu kwapa nje,inarusha stimu kwapa yenyewe imekomaa kwa kukwanguliwa kwa wembe kwapa nyeusiii....inaboa sana wengine tuna let muonekano wa kwapa na papuchi zenu.
Binti kwapa mda wote imeloa jasho inatema mbaya tena imeotea utoko utoko daaah hata mzuka wa kupiga mzigo unapotea hebu kuweni wasafi na muwe mnazifichaga hizo kwapa.wenyewe mnaona usasa na hizo top zen kuacha mikwapa wazi mnakera sana.
And the reasons are........................?I kinda like hirsute underarms:becky: