Si kama mustachi za Kihindi...
Ha ha ha njoo uangalie uthibitishe...Nipo pouwa...umeshevu wewe?
Aisee we kama jamaa fulani alisema anapenda harufu ya kwapa inampandisha mzuka kichizi...ni wewe nini?I kinda like hirsute underarms:becky:
yani we acha tu....lazma kwapa liwe safi ili beberu aweze kupitisha pua! baadhi ya wanaume wanapenda kunusa ndo maana mnaambiwa msiache vichaka huko...Aisee we kama jamaa fulani alisema anapenda harufu ya kwapa inampandisha mzuka kichizi...ni wewe nini?
Habari picha.
View attachment 111758
Kwa hiyo akiwa kama huyu, inatuonyesha mazingira yake pia shwari.
View attachment 111759
Huu ni uzalilishaji na unyanyasaji wa kijinsia,, mama ananilea nkya where are you? Tunadhalilishwa huku.
Ha ha ha njoo uangalie uthibitishe...
nikutumiaje hela wewe binti ule kuku weekend..?
Million LIKES
mhh watu8 vibaya hivo...Lol...sina ratiba ya kupiga chafya kwa sasa!!
Unakuta mdada kavaa kitop halafu kwapa nje,inarusha stimu kwapa yenyewe imekomaa kwa kukwanguliwa kwa wembe kwapa nyeusiii....inaboa sana wengine tuna let muonekano wa kwapa na papuchi zenu.
Binti kwapa mda wote imeloa jasho inatema mbaya tena imeotea utoko utoko daaah hata mzuka wa kupiga mzigo unapotea hebu kuweni wasafi na muwe mnazifichaga hizo kwapa.wenyewe mnaona usasa na hizo top zen kuacha mikwapa wazi mnakera sana.
Wanaume wa aina hiyo hawapo????unapoongelea swala la usafi jaribu kuBalance mambo na sio kuwa bias sawa eeeehhhh????
Bora aliyekomaa kwa wembe.....wapo wanaume wakivaa vest zao fulu kichaka tena cha njano waweza sema mvii si mvii rangi ya shabaaa lol!!!!!
Ila kuna makwapa jamani mengine sio siri yamekomaa...kama uvungu wa korodani...
Wadada hebu muwe mnayaficha basi...au sijui ule usugu na ule ukoko kama uchafu wa vocha husababishwa na yale mapochi huwa mnayakumbatia kutwa....!!!
Unamkuta mdada kavaa kitopu mkono wa kulia kashika bomba kwenye daladala, misharubu ya huko imejichomoza kama mimeno ya mamba...halafu mkono mwingine kashikilia simu anachonga umbea na shosti...hiyo harufu yake salaleeee
yani we acha tu....lazma kwapa liwe safi ili beberu aweze kupitisha pua! baadhi ya wanaume wanapenda kunusa ndo maana mnaambiwa msiache vichaka huko...
Ah hawa waja wasipotutia midomoni hawaridhiki kutwa twasemwa wanawake kila kasoro tunazo sie wanaboa kwa kweli