kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
ah! kumbe shem tatizo unaogopa maneno makali....? hujui vya kudandia navyo vinaraha yake...?shem mbona unadandia jamen kwani si nimesema ameongea ukweli bt anaweka maword makali mno
ah! kumbe shem tatizo unaogopa maneno makali....? hujui vya kudandia navyo vinaraha yake...?shem mbona unadandia jamen kwani si nimesema ameongea ukweli bt anaweka maword makali mno
ah! kumbe shem tatizo unaogopa maneno makali....? hujui vya kudandia navyo vinaraha yake...?
Lool hatar sana kwapa chafu mnaongoza wanaume loo!! Unakuta mwanaume kwapa linanuka kijasho sijui hajaoga sijui ugonjwa cjui nin loo!!! Tena na jua hili lilivokali mama yangu weeee mmmh tpuuuu usafi muhimu jaman kwetu sote
wewe ni mwanafunzi mwema sanasijambo, leo nimekumbuka kuvaa yunifmu yetu walimu....
sometimes ni ugonjwa, si eti eee?
alaf upande gari ya umma ukae na mkaka, waweza shuka kabla hujafika ati.
Ungemwambia tu bana
Unakuta mdada kavaa kitop halafu kwapa nje,inarusha stimu kwapa yenyewe imekomaa kwa kukwanguliwa kwa wembe kwapa nyeusiii....inaboa sana wengine tuna let muonekano wa kwapa na papuchi zenu.
Binti kwapa mda wote imeloa jasho inatema mbaya tena imeotea utoko utoko daaah hata mzuka wa kupiga mzigo unapotea hebu kuweni wasafi na muwe mnazifichaga hizo kwapa.wenyewe mnaona usasa na hizo top zen kuacha mikwapa wazi mnakera sana.
Wadada wenzangu samahanini lkn kwa hili naomba nimsapot mtoa mada. Ukweli kwenye hili wengi wanashindwa. Wadada wanahusudu kuvaa tu lkn miili yao kuitunza wanasahau sana. Hili mm nimeliona kwa wanawake wenzangu, kwapa nyeusi, na zimefanya marinda/makunyanzi, kuishia kunyoa tu sio solution, harufu nayo pia lazima ifanyiwe kazi, kama ni maradhi tiba si zipo? Na tuache kutumia deodorant za ajabu mana wengine huona wanakata harufu kumbe hujipaka madude ya kukirihisha wenzao. Na kwenye deodorant spray ni nzuri zaidi kuliko rolls au sticky. Spray zinasaidia kuweka dry muda mrefu. Dada kama una uwezo fanya waxing ya Kwapa kuliko kutumia wembe au shaving mashine. Waxing inasaidia kuepusha weusi na vinywele vinachelewa kuota. Al udi na udi nao vinasidia kukufanya uwe unanukia vizuri full time. Mwanamke kweli ukiwa safi inapendeza zaidi, hao wanaume sisi ndo tuwasaidie kuwa wasafi.
waambie wenzio wajaribuYap na dawa yakutoa kwapa jeusi ni sukar na ndimu unachanganya then una massage kwenye kwapa!pia hii inasaidia kutoa ile harufu ya kwapa!hebu jarbun hii tiba wenye hili tatizo
Mmmmmh kinywa kinaonyesha roho yako ikoje ujue.
Japo umeongea ukweli.
Wanaume wa aina hiyo hawapo????unapoongelea swala la usafi jaribu kuBalance mambo na sio kuwa bias sawa eeeehhhh????
Bora aliyekomaa kwa wembe.....wapo wanaume wakivaa vest zao fulu kichaka tena cha njano waweza sema mvii si mvii rangi ya shabaaa lol!!!!!
Lool hatar sana kwapa chafu mnaongoza wanaume loo!! Unakuta mwanaume kwapa linanuka kijasho sijui hajaoga sijui ugonjwa cjui nin loo!!! Tena na jua hili lilivokali mama yangu weeee mmmh tpuuuu usafi muhimu jaman kwetu sote
Yap na dawa yakutoa kwapa jeusi ni sukar na ndimu unachanganya then una massage kwenye kwapa!pia hii inasaidia kutoa ile harufu ya kwapa!hebu jarbun hii tiba wenye hili tatizo