ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 543
- 652
Baba BabyBoy Salama yako "MojakwaMoja kosa likpo kwako" Kwa sababu wewe umejibwaga na umejisalimisha kuwa rahisi sana kiasi Bi officemate wako hakuona redline !! akaweza Cross bila shida...sasa wewe mwenyewe rekebisha mambo kabla masilahi yako kuharibika....... Otherwise long and hard journey ahead. Good luck Mkuu..Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa hali iliyonitokea ijumaa ya juzi .Kuna mdada kazini kwangu imetokea kuzoeana sana kiasi kwamba lunch huwa tunakwenda pamoja huku tukiwa bega kwa bega .Tumezoeana sana kwa utani mwingi nwingi mpaka ananiitaga mume wake sweet darling licha ya kuona pete ya ndoa pale kidoleni.Kiukweli msg anazontumiaga huwa ni mbaya sana najitahidi kuzifuta kabla wife hajaziona.Kipindi cha nyuma muda wa kazi ukiisha huwa anakuja kwenye gari langu tunabusiana kisha kila mmoja anashika njia yake..Sasa juzi usiku tukiwa na wife sebuleni huku nmmshika a new born baby boy wife alikua ameshika simu yangu sasa simu yangu ina mtindo wa msg kujifungua yenyewe nadhan ni settings ikaingia msg toka kwa bi mdada inasema hivi " helo swthrt micn u nipo kwa bed nakuwaza kesho plz twende escape 1 kuna kitu special 4 u.Kiukweli nilipata wakati mgumu sana kumuelewesha mke wangua jana jumamosi nmeshinda tu home nikifua nepi na kumbadilisha mtoto akijisaidia.Ingawa kwa macho anaonekana karidhika na utetezi wangu lakini bado namuona ana mashaka .Jamanu kina dada hata kama ni mazoea muwe munaangalia na muda wa kupiga simu au kutuma msg wengune tunawapenda wake zetu na tumetumia muda mrefu mpaka kuwatia ndani.
Ulilikoroga linywe..usimsingize dada wa watu. Unaenda lunch bega kwa bega na mabusu garini ulifikiri nini. Jieleze tu kwa baby mama. Ukweli utakukomboa!
Tatizo liko kwako Mkuu kwa kushindwa kuweka mipaka ya mahusiano.
Umemaliza, ahsante kwa kumkumbusha!Pole mkuu,be a man of principle(I am not any way that you are not principled)tengeneza principles zitakazo ongoa interaction yako na huyo mdada ,mengi anayoyafanya ni ambayo umemruhusu kuyafanya na hata kama hujamruhusu kufanya pindi akifanya hauweki stern measures.review mahusiano yako naye mmpe limits na mipaka.
Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa hali iliyonitokea ijumaa ya juzi .Kuna mdada kazini kwangu imetokea kuzoeana sana kiasi kwamba lunch huwa tunakwenda pamoja huku tukiwa bega kwa bega .Tumezoeana sana kwa utani mwingi nwingi mpaka ananiitaga mume wake sweet darling licha ya kuona pete ya ndoa pale kidoleni.Kiukweli msg anazontumiaga huwa ni mbaya sana najitahidi kuzifuta kabla wife hajaziona.Kipindi cha nyuma muda wa kazi ukiisha huwa anakuja kwenye gari langu tunabusiana kisha kila mmoja anashika njia yake..Sasa juzi usiku tukiwa na wife sebuleni huku nmmshika a new born baby boy wife alikua ameshika simu yangu sasa simu yangu ina mtindo wa msg kujifungua yenyewe nadhan ni settings ikaingia msg toka kwa bi mdada inasema hivi " helo swthrt micn u nipo kwa bed nakuwaza kesho plz twende escape 1 kuna kitu special 4 u.Kiukweli nilipata wakati mgumu sana kumuelewesha mke wangua jana jumamosi nmeshinda tu home nikifua nepi na kumbadilisha mtoto akijisaidia.Ingawa kwa macho anaonekana karidhika na utetezi wangu lakini bado namuona ana mashaka .Jamanu kina dada hata kama ni mazoea muwe munaangalia na muda wa kupiga simu au kutuma msg wengune tunawapenda wake zetu na tumetumia muda mrefu mpaka kuwatia ndani.

Mna fantassy relationship, which qualifies for emotional cheating. Kwani hujawahi kumpeleka seascape? Kwa nini akasema hivyo? Lako hilo. Wala usirelaksi. Kama ana akili kama yangu atakuacha ubweteke ujue yameisha kumbe ana kuobserve. Siku ya kukudaka red handed utajutaje?