Wadada leo niambieni ukweli mnataka nini..?

Kaka karibu , humu hakuna stress.
1749028773463.jpg
 
Shida imeanza mlivyoona poa kuwatoa bikra .
Hii mmezini ukizini huwa wewe mwanaume unakuwa huna hofu ya Mungu unamzalisha baada ya hapo unamchoka unampa tena mtoto wapili , halafu hapo hujamuoa unamkachaa . Halafu ukimkachaa unaenda kwa wengine halafu unarudi tena unashindwa kumridhisha unamla tigo .

Halafu unaenda kwingine na kwingine unarudi umeshamaliza miji unaweka bango wanawake mnaumiza moyo wangu.

Bro mnakera hasa wa jf halafu hamna hela mnazitafuta mtu anakutumia picha ambayo hiyo hiyo picha anatumiwa mtu mwingine nyie mnakataa yeye anaikubali anatest mashine anaona unamimba anaenda kutoa posa anaoa wewe umebaki nifanyaje hii sio powa haya maisha ni kuamua . Huna hata hela ya shopping laki kwenu mnalia . Eti mnapenda hela na huku mwingine hata ml 10 anampa zaidi ya hapo anamnunulia gari , anajenga kwa msichana wewe kujinadi tu na degree 5 , na masters mbili nafanya kazi dodoma serikalini nalipwa vizuri .
Halafu mwisho wa siku unatoa ten eti baadae unaandika humu aise fulani ni mmbaya analitumboo ni linene na kutoa maneno machafu .

Utaoa lini
 
Haha! si bure kuna kitu humu watu wamekufanya...🤣
 
Back
Top Bottom