Wadada leo niambieni ukweli mnataka nini..?

Maana nimeshindwa kuwaelewa huu moyo wangu mnachoufanya mnajua nyinyi tu!, na sasahivi kilichobaki mnataka tu muuchomoe huu moyo muupike supu mle na chapati!..

Niambieni mnataka nini..??
tapatalk_1888025895.jpg
 
Maana nimeshindwa kuwaelewa huu moyo wangu mnachoufanya mnajua nyinyi tu!, na sasahivi kilichobaki mnataka tu muuchomoe huu moyo muupike supu mle na chapati!..

Niambieni mnataka nini..??
Wanataka kile ambacho huna
 
Ukiwa malaya tu hutokaa ujielewe unataka nini maana kazi yako nikuwa na wanawake wapya waliokuzalia na unao wala kila siku mbaya ni hili mna wala tigo kama sifa
sio tigo ni mixx by yaaas.

Haya tujibu sasa swali letu mama. Je' wanawake mnataka nin?
 
Maana nimeshindwa kuwaelewa huu moyo wangu mnachoufanya mnajua nyinyi tu!, na sasahivi kilichobaki mnataka tu muuchomoe huu moyo muupike supu mle na chapati!..

Niambieni mnataka nini..??
Na kweli kama huna hela ya kununua supu watachemsha moyo.
 
Back
Top Bottom