kama ananuka sababu ya ugonjwa aende hospital lakini kama ni uchafu tu awe anajisafisha na maji mengi masafi anajikausha kwa kitaulo kisafi, then anapakaa mafuta ya nazi yanasaidia kukata harufu pia kuondoa weusi hata kwenye mapaja.
Kunaa wengine hawanyoi zile nywele palee kati aisee kama anafuga rasta vile.Nilikitana nayo siku mojaa yaani hadi mzuka ulikata na hadi leo namkwepaga uyo manzi aisee
Hakuna watu wanaovumiliwa kama wanaume kwenye hii issu. Lazima sisi wanaume tulitambue hilo. Hawa wenzetu wana mambo mengi huko kwa k. Sio unazungumza tu kwa sababu huku starehe vile ulivyopania. Mxxxy.