Wadada kuweni na misimamo.

ndechilio shoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
997
Reaction score
366
kuna dada moja hajielewi juu ya kuchagua mchumba kwani anao kama watano,wote wanaleta mahitaji mbalimbali kama pesa ya ma2mizi,vocha.Wote wanapata huduma ya tunda kwa muda tofauti.wengine hupata uduma hiyo wakiwa pale chuo bila kujijua kama wana wenzao palepale,wengine hupewa kipindi cha likizo.Tatizo wote wanampango wa kumuoa endapo akimaliza chuo mwezi 6.je afanyeje?na wote anawapenda?
 
Wewe ni mmoja wao au rafiki yake maana wamjua sana.
Waoaji wenyewe wako wapi? Cha msingi ni kumsikitikia kama kweli anaendesha maisha ya ukahaba karne hii, basi huyo ni janga kubwa!
 
Wewe ndo jifunze kuwa na misimamo ya kiume kama mwanaume

aliekuambia yeye hajielewi nani?

wewe jali yako.
yeye muache na life yake
anajua anachokifanya
 
Unahitaji maombi..Huyo ni roho mtakavyote na roho mtakafujo..Kwa namna nyingine ni kama yule mwanamke msamaria aliyekutana na Yesu kisimani na akaambiwa kuwa hana mme mpaka hapo.Tubu na tulia ili Mungu akupe wa ukweli..
 
Mtu aliye na uwezo wa kuwamudu wanaume watano rasmi tena ''wachumba'' kwa wakati mmoja bila kujua kama wanaibiana, hapo hapo yawezekanaje mtu huyo awe hajielewi?

Anajua anachokifanya, kwa kuwa moyo haujawahi kugawanyika kwa usawa.

Mi nadhani labda wewe ndio hujielewi mkuu.
 
nilikuwa najishangalia tu, kumbe nipo sahihi, lol!
 
SHE IS USING WHAT HER MAMA GAVE HER FOR FREE! Uchumi wake hajaukali
 
Ukisikia uongo uliopitiliza basi ni huu!mtu kupenda wanaume Watano kwa pamoja!haiwezekani na haitakaa iwezekani hata mwisho wa dunia:smile-big::closed_2:
 
Mtu Hufaliwa na chake, mwambie aongeze na wengine wa5...wala asitie wasiwasi kwa raha zake...
 
ujana maji ya moto...

she cant make up her mind now,and enjoys using them...but later ukigonga 28,29 unaona yote uliyofanya ni upuuzi mtupu and you hate yourself.

by that time,huwaoni and left you feeling used
 
Mie namuhurumia huyo kaka mmoja ambae ataendelea kumegewa mke wake kama kawa.....manake kama ni 5, hata akiolewa na mmoja wapo sio rahisi wanne wote akawamwaga jumla....dah!! Mlio kwenye ndoa mna kazi aisee!
 

kama anawapenda wote, basi aolewe na wote kwa muda tofauti..
 
Wala isikupe presha lolz.

Yeye anajibu sahihi kwa kila mmoja wao.. Na ndio maana ameweza kuwapanga foleni!

Ila kiuhalisia hapo anapendwa mmoja.. Wengine pochi, madesa and the like!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wewe nae ----- kweli kweli...sasa kwa nini wew usimgegede na kutupa kule?
wacha wadada wagawe papuchi kama karanga....hao wajinga wanaume wanaotegemea kuoa imekula kwao. wewe kamatia ujibwadu mwanawane
 
.ni wewe au? maana waonyesha unamjua sana huyo mtu ....
 


Afungue duka la hiyo huduma!
 
SHE IS USING WHAT HER MAMA GAVE HER FOR FREE! Uchumi wake hajaukali
huwa najiuliza mtu unawezaje kuwa na wapenzi wawili kwa wakati mmoja na wasijuane.
ni kipaji aisee mimi nitashikwa siku hiyohiyo,watu wanavokaba kwanza? khaaaa kuna watu wana vipaji
 
Wanaume wa5 mwanamkem1 duuh huyo dada anahtaj maombi kwnza kabla ya yote,anajichakaza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…