Wadada,kama unataka mwenye mafanikio huyu!!

Baba yangu ni Mzee Peter kazi za nje kazi attend na kujipatia watoto.nashawishika kusema utafiti ni wa kweli.
 
Leo nawaletea wenye majina William(Bill ni kifupi chake)Peter na Robert(Bob ni kifupi chake)Watu wenye majina haya wana sifa kuu zifuatazo,kwanza ni watu wenye mafanikio,pia wengi wao ni wakimya,hawapendi kujikweza,lakini pia hawako mbali na kupenda watoto wa kike,yaani hawana kawaida ya kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja!Ila ni watu wanaojali sana kuisaidia jamii inaowazunguka.Kama kawaida huu ni utafiti tu,dada zangu ni vizuri ukakagua wewe mwenyewe huyo mwenye jina hilo kama una uhusiano nae au unatarajia kuanzisha uhusiano!Tafiti hazisemi kweli kwa kila mtu,ila zinasema kweli kwa wengi pia,huwezi jua wako atakua kwa wengi au wachache!

Mjomba wangu na cuzin wanaitwa Robert. . . wamtulia kama maji ya mtungi.

Hence proved!!!!!!!!!
 
Eiyer,hizi tafiti azko huwa unazifanyia wapi,
Coz nahis hii ni mara ya pili unakuja na majina na sifa zake alafu zinakuwa zinafiti kwa watu ninaowajua mm,
Haya bwa ila huyo willium ninayemjua mm ni mpole kupita kiasi na enzi anasoma likuwa nanatumikia kanisan wakati wa misa,
Ila alivyokuwa anawalamba watoto mpaka aibu alafu watu wakisikia tuhuma zake wanasema anasingiziwa ila lol!

Kama alikulamba na wewe ruksa kusema ulivyoandika ila kama siyo utakuwa umekosea sana maana umesikia maneno tu kwa watu ambayo inawezekana siyo kweli
 
Majina yanahusu nini na tabia ya mtu?

Ukimwita mwanao Masumbuko atasumbuka maisha yake yote. Hata ukimwita "RANGO" chagga meaning "mwizi" hataacha kuwa jambazi etc. Remember one thing from today....The subconscious brain is what controls any human being. It does not think but it makes you what you are . It is too powerful. It is this part which when tempered with, you can get a different human from what you ordinarily know. Think of suicide bombers, think of commandos, think of witchcraft and those supernatural behaviors or acts. It is a result of feeding the subconscious brain with the necessary inputs . Names have power to feed the subconscious brain.

If you believe you will be poor , you will never avoid it. If you believe you will be rich, nothing will stop you forever. Names have such effect. Too psychological though, so never mind if you can't comprehend it. just remember to select a good name for your next baby.
 
Kama alikulamba na wewe ruksa kusema ulivyoandika ila kama siyo utakuwa umekosea sana maana umesikia maneno tu kwa watu ambayo inawezekana siyo kweli
Hahahaha!
Taratibu Shine,
Hajanilamba bwana ni mdogo sana kwangu ila nazijua ishu zake kwan alishaharibu kwa mdogo wetu na hg wetu lol!
 
Mfamaji umetoa darasa zuri sana,utakua umewasaidia wengi?
 
Mi ninae Peter nakubali ni mjenzi mzuri na ninanufaika sana. nikuazime uonje?
 
Ebwana mi sipingi ni ukweli mtupu sample yangu imetoa jibu sawa na lako.
 
Hivi majina hutolewa kutokana na tabia za watu au watu hujenga tabia kutokana na majina waliyopewa?
 
Ukimwita mwanao Masumbuko atasumbuka maisha yake yote. Hata ukimwita "RANGO" chagga meaning "mwizi" hataacha kuwa jambazi etc. Remember one thing from today....The subconscious brain is what controls any human being. It does not think but it makes you what you are . It is too powerful. It is this part which when tempered with, you can get a different human from what you ordinarily know. Think of suicide bombers, think of commandos, think of witchcraft and those supernatural behaviors or acts. It is a result of feeding the subconscious brain with the necessary inputs . Names have power to feed the subconscious brain.

If you believe you will be poor , you will never avoid it. If you believe you will be rich, nothing will stop you forever. Names have such effect. Too psychological though, so never mind if you can't comprehend it. just remember to select a good name for your next baby.

Jina lako ni mfamaji_je..ni kweli utakufa maji,....hebu funguka kuhusu jina lako
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom