Wadada,kama unataka mwenye mafanikio huyu!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,708
Leo nawaletea wenye majina William(Bill ni kifupi chake)Peter na Robert(Bob ni kifupi chake)Watu wenye majina haya wana sifa kuu zifuatazo,kwanza ni watu wenye mafanikio,pia wengi wao ni wakimya,hawapendi kujikweza,lakini pia hawako mbali na kupenda watoto wa kike,yaani hawana kawaida ya kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja!Ila ni watu wanaojali sana kuisaidia jamii inaowazunguka.Kama kawaida huu ni utafiti tu,dada zangu ni vizuri ukakagua wewe mwenyewe huyo mwenye jina hilo kama una uhusiano nae au unatarajia kuanzisha uhusiano!Tafiti hazisemi kweli kwa kila mtu,ila zinasema kweli kwa wengi pia,huwezi jua wako atakua kwa wengi au wachache!
 
Mjomba wangu na cuzin wanaitwa Robert. . . wamtulia kama maji ya mtungi.
 
Eiyer,hizi tafiti azko huwa unazifanyia wapi,
Coz nahis hii ni mara ya pili unakuja na majina na sifa zake alafu zinakuwa zinafiti kwa watu ninaowajua mm,
Haya bwa ila huyo willium ninayemjua mm ni mpole kupita kiasi na enzi anasoma likuwa nanatumikia kanisan wakati wa misa,
Ila alivyokuwa anawalamba watoto mpaka aibu alafu watu wakisikia tuhuma zake wanasema anasingiziwa ila lol!
 
siwezi kusema maana hao sijawai kuwapata kwenye tisini zangu
 
je yule wa @NYC yeye ajikwezi kweli hizi tafiti bado hazijakamilika..
 
Leo nawaletea wenye majina William(Bill ni kifupi chake)Peter na Robert(Bob ni kifupi chake)Watu wenye majina haya wana sifa kuu zifuatazo,kwanza ni watu wenye mafanikio,pia wengi wao ni wakimya,hawapendi kujikweza,lakini pia hawako mbali na kupenda watoto wa kike,yaani hawana kawaida ya kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja!Ila ni watu wanaojali sana kuisaidia jamii inaowazunguka.Kama kawaida huu ni utafiti tu,dada zangu ni vizuri ukakagua wewe mwenyewe huyo mwenye jina hilo kama una uhusiano nae au unatarajia kuanzisha uhusiano!Tafiti hazisemi kweli kwa kila mtu,ila zinasema kweli kwa wengi pia,huwezi jua wako atakua kwa wengi au wachache!

Mbona William Malecela si mkimya ana kelele sana na anapenda kujikweza wewe acha generalizations.
 
Canta,teh,teh,teh,teh,usijali ni mambo ya tafiti hayo!
 
Mbona William Malecela si mkimya ana kelele sana na anapenda kujikweza wewe acha generalizations.

Kiranga,umekuja na hukuee,haya bana,nitakukuta kule inteligance!BACK TO TOPIC,hata mimi sijasema wote wanafit hapo,unapofanya utafiti unaangalia namba kubwa japokuwa wanakuwepo wachache wasiofit kwenye utafiti!
 
Utafiti gani ulitumika kuielewa nguvu iliyoko kwenye majina?

Nguvu iliyoko kwenye majina ilijulikana baada ya watu wenye majina ya aina moja kuonekana na tabia za kufanana!Kwa maana nyingine majina yana maana ya kujulisha huyu ni wa aina gani au hiki,ndo maana ukitajiwa samaki unajua umeambiwa nini!Ndio maana hata Mungu aliwabadili majina Abramu kuwa Abrahamu,Sarai kuwa Sara,Yakobo kuwa Israeli!Mungu alikua anajua nini anafanya!
 
bro wangu peter yuko kama ulivyomsema hapo,lakini kuna neiba anaitwa robert ni sharobaro
 
Back
Top Bottom