Wadada: Huu ni bonge la ushamba

Wadada: Huu ni bonge la ushamba

Hakuna shida Ely mbele ya kula sinaga matani tena manyama nyama ndio kabisa mambo ninayoyapenda shunie mm
Wow!!....

Bhasi fanya kunitafuta maana mimi na watu wanaopenda kula ndo tunaendana kabisa hasa ukute hakupwa,humupwai,hamupwayani.

Vipi kwema lakini mkuu
 
Yaan Jolie akifika nyumbani anaanza kupiga miayo anakumbuka chakula cha KFC alivyokiacha yaan ushamba wake na aibu yake kaacha huku ana njaa ili aonekane sister duu wa kishua kumbe njaa tupu
Hahahs mi ustaarabu huo sina kwa kweli,yan napakia kama kawa,mbn ye wakat wa kukwichi hakwichi nusu?
 
Kuna kimoja kilitaka mdudu, nikakiagizia kisha kikagusa gusa, kikala vipande kama vinne hivi kikasema kimetosheka ilikuwa ni kwa hamu tu...nilibadili mawazo ya kulipa nikahamishia bili kwake!
Asingekuwa na hela yakulipia je! Ninavyompenda sibakishi kitu
 
am kinda straight tuu kama sina njaa usiagize chakula nitakunywa tuu kama tunakwenda kula staki ujinga ujinga kabisaa
 
Back
Top Bottom