Wadada: Huu ni bonge la ushamba

Wadada: Huu ni bonge la ushamba

Hahaha,daah,..nikwel ukiona dem wa hvyo ujue ni bonge la mshamba,...mi nmeshatoka na madem wakal na wenye hadh na pesa yao,..lakin hata m1 hajawai fanya use.nge kama huo,sana sana tukienda subway au kfc kwanza weng hawapend lia pale,wanapenda lia kwenye gar ili watafune mifupa vzur,..

Na hua naenda nao baa za mtaan tuu,enz zile za dagaa dagaa pale lego tunakula kitimoto na mtoto mkal tena kwa mkono,..au naenda nao rudys farm kule yaan had mifupa,na ni madem wa ukwel,..

Huyo atakua wa tandale sasa anajifanya tu
 
7c24a5962e1df59e921785e985eba77b.jpg

Huu hapa ni bonge la ushamba sijui nani aliwadanganya kuacha au kubakisha chakula kwenye sahani ndio ustaarabu
Akina dada mnatuangusha sana nyie ndio mna haka katabia kakuacha chakula kama unaona umeshiba si useme usiletewe chakula au ufungiwe take away nini sasa kugusa chakula na kuacha hivi
Ifike mahali mthamini na kukiheshimu chakula ukifanya hivi ata uyo bwana yako au ndugu yako anaona hufai nani anataka mrembo muaribifu si umaskini utatawala

Hii picha niliipiga baada ya mdada aliyekaa pembeni yangu kuondoka aliagiziwa chakula na msela wake akakigusagusa kama hivyo alafu akaleta pozi ka 'ooh no i cant eat chote' (hovyooo) yaani i could see the disappointment usoni mwa kaka aliyenunua msosi huo
Acheni hizi mbwembwe. Period
Afu akirudi maskani anakuta sima na sukuma
 
Sema jamaa yake atakuwa bishoo na yy,,,

Kuna jamaa nlshawahi kumshuhudia alimuagizia mdada menyu km hyo Yule mdada akaigusa gusa tu hlf akadai ametosha maana yupo kwenye diet,,, basi yule mshkaj wake alipomaliza kula msosi wake akausogeza na msosi wa demu wake akala pia,,, wakat anakula anamwambia yule hii ni pesa nimetumia hlf unafanya hv,, ungejua wapi nlipotolea hii pesa hata usingeuacha huu msosi,,,

So mdada yoyote mwenye tabia hyo huwa anafanya kwani tyl anajua bwana wake na anapigo za kibrazamen
 
uzungu mwingi sasa nenda nae room avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****
Dah asee wataandamana mkuu maana dah
 
Sasa ngoja ajambe ndio utajua huyu mchana kashindia maharage na dona ila alikuwa analeta pozi tu KFC.

Uzuri wa sehem hizo unaweza kuwaambia wakufungue kama kimekushinda lkn watu wengi wanajifanyaga kuacha...shenzy kbs
Ha ha ha mbavu zangu
 
7c24a5962e1df59e921785e985eba77b.jpg

Huu hapa ni bonge la ushamba sijui nani aliwadanganya kuacha au kubakisha chakula kwenye sahani ndio ustaarabu
Akina dada mnatuangusha sana nyie ndio mna haka katabia kakuacha chakula kama unaona umeshiba si useme usiletewe chakula au ufungiwe take away nini sasa kugusa chakula na kuacha hivi
Ifike mahali mthamini na kukiheshimu chakula ukifanya hivi ata uyo bwana yako au ndugu yako anaona hufai nani anataka mrembo muaribifu si umaskini utatawala

Hii picha niliipiga baada ya mdada aliyekaa pembeni yangu kuondoka aliagiziwa chakula na msela wake akakigusagusa kama hivyo alafu akaleta pozi ka 'ooh no i cant eat chote' (hovyooo) yaani i could see the disappointment usoni mwa kaka aliyenunua msosi huo
Acheni hizi mbwembwe. Period
period ...skunk
 
uzungu mwingi sasa nenda nae room avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****
hhhhhh
 
Inakera sana. Siku moja nikamtoa out mdogo wangu. Pamoja na kumpa Uhuru wa kuagiza chochote apendacho, alichofanya ni kudonoa tu. Nilichukia. Binafsi hizo pozi sina. Kama sijisikii kula, nafungasha ( kwa vinavyowezekana)
 
Back
Top Bottom