Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,638
- 220,410
[QU😉OTE="Bujibuji, post: 17194207, member: 13443"]Wanawake MNA vibweka sana, kuna mrembo mmoja nilimkamatia Posta enzi zile za love cards za Empire. Tukapita Nandos kisha tukachukua chumba Kibodya Inn Nkrumah Street. Mzee nikapiga mechi Kali nikaonyesha ujuzi wangu wote kama nilivyofundishwa na makuhani Wangu mshana jr na Mentor, Mara binti akaanza kunena kwa lugha za ndimi za moto, bebi am kamin, amkamin bebi, do it had, had bebi, am kamin, nikamuuliza kaming from Rufiji? Niliambulia maparuzi makali usoni kutoka kwenye mikucha ya wamachinga na kilo sitini na MOJA za matusi mazito ya nguoni[/QUOTE]
😉😉😉😉😉😉
😉😉😉😉😉😉