Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,531
- 18,727
Wanasema eti Chunga Mzigo wako.Ndioo abiriaa chunga......
Wanasema eti Chunga Mzigo wako.Ndioo abiriaa chunga......
Ndo hvyo sasaWanasema eti Chunga Mzigo wako.
Aya kila la kheri katika uchungaji wako. Alafu njoo upande wa pili nikwambie kitu.Ndo hvyo sasa
We nawe kila siku huna jipya ulianiambia utaninunulia sumsung galaxy j7 mpk na leo..salam salam tu [emoji3] [emoji3]ngoja nirud kwa ivuga wangu tu we endelea na mumuAya kila la kheri katika uchungaji wako. Alafu njoo upande wa pili nikwambie kitu.
Badooo hajapatikana[emoji85] [emoji85]Aisee kwahyo wakubwa wanafaidi ama
Hahahahahhahh... Mecheka kwa nguvu...Na ukiona hauongwi jua kuna mkali wako anapewa kidding lol!!Hahahaaa...
Mkuu ukiwa na mwanamke zaidi ya miezi sita ajakuomba ela muache...
Hapo haupo peke yako mzee, USIONE VINAELEA VUMEUNDWAA
Aisee hiyo nafasi inanihusu tafadhaliBadooo hajapatikana[emoji85] [emoji85]
Karibu tafadhali,.[emoji4]Aisee hiyo nafasi inanihusu tafadhali
Haahahhahah jamaniii kumbe jamaa promise less eeeh,.We nawe kila siku huna jipya ulianiambia utaninunulia sumsung galaxy j7 mpk na leo..salam salam tu [emoji3] [emoji3]ngoja nirud kwa ivuga wangu tu we endelea na mumu
Mmh,.mbona napata hofuu....Ilikuwa J7 ama Note 8? mumu acha kumsikiliza huyu anataka kunihalibia aisee.
Hofu ya nn tena jamaniMmh,.mbona napata hofuu....
HahahahaaaaHaahahhahah jamaniii kumbe jamaa promise less eeeh,.
Aisee niigie na viatu amaKaribu tafadhali,.[emoji4]
duh kuna wasumbufu flani, ngoja niwaombe hela kila mmoja laki tatuSio kila mwanamke anayekuomba hela anamaanisha, wengine hio ndo njia ya kujutosa maana anajua kabisa akikuomba hela ndo amekukimbiza na hutamsumbua tena..
Ukiona mwanaume anakusumbua na kukuomba papuchi ovyo ovyo we muombe hela tu [emoji16][emoji16] problem solved
Inna hujamuelewaa!??Hofu ya nn tena jamani
Hebu subiri kwanza,.nayatafakari ya Inna,mazito yaleAisee niigie na viatu ama