Wadada: Hela ya salon inauza utu wako

Wadada: Hela ya salon inauza utu wako

Yaani umeombwa 20k ndo unaanzisha uzi unalialia namna hii
 
Haaahaha pole kwa kizinga cha 20 mkuu,.ujue kuna sura ukikutana nazo tuu unajua hizi sura za vizinga hizi,unazipotezeaa usisubiri wakuharibie siku,..ila daah vizinga sio wala nn,namm ntaleta humu Uzi wa kupigwa vizinga na wanaojiita WANAUME hahahaaa naona niwakati sasa wa kutoana droo sio kila siku wadada tuu kuna wakaka/wababa nao wana hii tabia,....Uzi uko njiani.
 
Mnaomponda jamaa mbona sioni kama kuna sehemu kasema alimtongoza huyo mwanamke,nachokisoma hapa ni kuwa amesema wamekuwa tu marafiki hajamtamkia mambo hayo akaombwa pesa akasema hana akablokiwa.tuusome uzi tuuelewe kabla ya ku-comment sio kila kitu ni cha kupinga.
 
Haaahaha pole kwa kizinga cha 20 mkuu,.ujue kuna sura ukikutana nazo tuu unajua hizi sura za vizinga hizi,unazipotezeaa usisubiri wakuharibie siku,..ila daah vizinga sio wala nn,namm ntaleta humu Uzi wa kupigwa vizinga na wanaojiita WANAUME hahahaaa naona niwakati sasa wa kutoana droo sio kila siku wadada tuu kuna wakaka/wababa nao wana hii tabia,....Uzi uko njiani.
Habari yako Dada, nakusalimu jamani
 
Hahaa kibomu cha 20 mzee kimekutibua..
usitongoze mdada anaekukera akiomba hela...
tongoza mdada ambae unasubiri kabisa akuombe hela...

maisha mipango...ukiona bajeti zako haziendi na mtu anza wewe kum block..

Hao unaowapata vichwa maji ndo size yako labda

We unafamilia Mchepuko wa nini mkuu baki njia kuu.

Kuna popote jamaa aliposema kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na huyo mwanamke?kwanini msisome kitu mkakielewa?
 
Mzeee unanisema mimi hapoo...!! Kuna manzi nimempotezeaa juzi tu hapaa...kizinga cha elfu 20 sitakagii ujingaaa
Sio kila mwanamke anayekuomba hela anamaanisha, wengine hio ndo njia ya kujutosa maana anajua kabisa akikuomba hela ndo amekukimbiza na hutamsumbua tena..

Ukiona mwanaume anakusumbua na kukuomba papuchi ovyo ovyo we muombe hela tu problem solved
 
Mtoa mada upo sahihi kabisa, wadada wamekuwa viumbe wa ajabu sana , yaani ukianzisha urafiki naye kitu cha kwanza anafikiria namna yakukubomu tu na sio namna nyingine , na ukimwambia ukweli kama huna basi ujue urafiki ndio bye bye tena, alafu chakushangaza kama ni demu wa mtaani kwenu hapo hapo utakuta kesho yake yupo busy na limtu lingine wewe anakupita tu tena hata hi anaweza asikupe
 
tongoza beki 3 mkuu hao pesa nyingi jelo ya vocha ili mchat kutwa nzima
 
inamaana hali imekua mbaya kiasi hicho?
 
Haaahaha pole kwa kizinga cha 20 mkuu,.ujue kuna sura ukikutana nazo tuu unajua hizi sura za vizinga hizi,unazipotezeaa usisubiri wakuharibie siku,..ila daah vizinga sio wala nn,namm ntaleta humu Uzi wa kupigwa vizinga na wanaojiita WANAUME hahahaaa naona niwakati sasa wa kutoana droo sio kila siku wadada tuu kuna wakaka/wababa nao wana hii tabia,....Uzi uko njiani.
Hahahaaa. Ujue sio wote wanalijua hilo my dear. Yaani mtu akishapata mpenzi basi hapo anapiga mahesabu kwamba ameshapata mtu wa kumaliza shida zake ndogo ndogo.

Ila saa nyingine wanawalaumu wanawake bure sababu kama kila wakiombwa wanawapa halafu malalamiko hayo hawamwambii mhusika yaani analalamikia pembeni unadhani hapo ataacha kuombwa kweli.

Wa kufanya hili jambo liishe ni hao watoaji.
 
Mambo niaje mdada?
 
Back
Top Bottom