Wadada: Hela ya salon inauza utu wako

Wadada: Hela ya salon inauza utu wako

Akamuombe babaake mpuuzi nininkuomba omba hela kizembezembe bila sababu za msingi ana wazimu nini. Simind hizo mambo za kuombwa hela naweza kukutia makofi shenzi kabisa. Nina hasira na huyo fala kama kaniomba mimi eti 20 ya saluni mkichaa kabusa huyo. Leta matatizo una enda msibani tena awe amkufa babako au mamako siyo mtoto wa shangazi sijui bibi..sikuelewi. sema unaumwa tena magonjwa makubwa moyo umepasuka sijui kizazi kina maji etc siyo unaumwa mafua tu unaomba ela ya dawa eti kuna dawa nzuri za mafua zinauzwa 15000.Shetani wewe unaijua hela wewe pambaaaaaaaafu kabisa.
Mkuu ungemuweka makofi anataka pesa kwa sababu za kijinga.
Wanawake mjipange sana kimaisha kabla hamjaingia kwenye ndoa hawa ndo wanaume kipindi cha magufuri
 
Weeee elimu ipi hii ya bongo, njoo mitaa yetu hao wenye kazi zao ndo wanaongoza kwa vizinga vya chips, chai, ela ya kusuka n. K
Ndugu..ni swali tu nimemuuliza huyo jamaa hapo juu kutokana na comment yake.
 
Hahaa kibomu cha 20 mzee kimekutibua..
usitongoze mdada anaekukera akiomba hela...
tongoza mdada ambae unasubiri kabisa akuombe hela...

maisha mipango...ukiona bajeti zako haziendi na mtu anza wewe kum block..
Bora hata ningekuwa nimemtongoza Boss.
 
Back
Top Bottom