Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,042
- 126,057
Poa kabisa.Mambo niaje mdada?
Poa kabisa.Mambo niaje mdada?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] thio mm ila tunafanana kidogo urefu[emoji85]Jamanii ni poa. Huyo kwa picha ndio ww
Wanakuja kutulalamikia sisi badala ya kuwaambia wahusika wao ukweli,hawajui humu tumawashangaa sometimes[emoji23] eti shogaangu kimtazamo tuu sisi tumekaa kuombaomba kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]Hahahaaa. Ujue sio wote wanalijua hilo my dear. Yaani mtu akishapata mpenzi basi hapo anapiga mahesabu kwamba ameshapata mtu wa kumaliza shida zake ndogo ndogo.
Ila saa nyingine wanawalaumu wanawake bure sababu kama kila wakiombwa wanawapa halafu malalamiko hayo hawamwambii mhusika yaani analalamikia pembeni unadhani hapo ataacha kuombwa kweli.
Wa kufanya hili jambo liishe ni hao watoaji.
Ok fresh pande zipi ?Poa kabisa.
Wanakuja kutulalamikia sisi badala ya kuwaambia wahusika wao ukweli,hawajui humu tumawashangaa sometimes[emoji23] eti shogaangu kimtazamo tuu sisi tumekaa kuombaomba kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
Wawaambiee tuu kwakweli wanawake wao wa fb[emoji23] [emoji23]Hahahaaa. Hata hatujakaa kuomba omba kwa kweli.
Nawashangaa ujue kama wana malalamiko wawalamikie hao wanaowaomba huko huko ili kukomesha hiyo tabia kama wanaiona haifai. [emoji23] [emoji23]
Haswaaaaaa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wawaambiee tuu kwakweli wanawake wao wa fb[emoji23] [emoji23]
Kwan we hujui tabia zangu?Kwahyo ww huna tabia hizo?
Alafu sikuhz hujatulia wwHabari yako Dada, nakusalimu jamani
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]usishangae hata wewe ni kichwa maji wa mtu[emoji51] [emoji51] [emoji51]
Kwanini, hiyo elfu 20 ni nyingi sana mkuu?Nikupe 20 kirahisi rahisi
Kwa uchache sana ndio nafahamu.!Kwan we hujui tabia zangu?
Hahahahaaaa kivp InnaAlafu sikuhz hujatulia ww
Aisee kwahyo wakubwa wanafaidi ama[emoji23] [emoji23] [emoji23] thio mm ila tunafanana kidogo urefu[emoji85]
Naona unam mendea mtoto mumuuAisee kwahyo wakubwa wanafaidi ama
Hahahahahaaaaa we nae unavituko unachunga mzigo wako ama?Naona unam mendea mtoto mumuu
Ndioo abiriaa chunga......Hahahahahaaaaa we nae unavituko unachunga mzigo wako ama?