Wadada haya ndio yalikuwa mapenzi ya kweli

Wadada haya ndio yalikuwa mapenzi ya kweli

Halafu ww bana[emoji119][emoji3][emoji3]
Mimi nikiwa secondary nilikuwa mzuri kuliko sasa hivi.
Na ndivyo wengi walivyokuwa. Sasa hivi tumekuwa maisha yametutandika hadi sura zimekomaa, watakaotupenda sasa ndio true love sio kipindi cha nyuma tukiwa wabichi na wanono.
 
Huo ugonjwa kwangu ilikuaga kama ugonjwa wa mafua vile
Hlf kibaya zaidi ukiwa na gono,na ukatongoza dem yeyote yule lazma akubali,hata kama alikua mgumu kiasi gani lkn siku ukilikwaa tu gono,ukasema ujaribu kumfukuzia tena hachomoi kamwe..[emoji38]
Sasa kwenye kupona hapo hilo gono ni shughuli kubwa[emoji38]
Lakini gono ilikuwepo
 
Dah maumivu yake usipime
 
😥😥😥 najiskia kulia sjui nlikuwa na uzuri gani mimi kijana alininunulia sim yuko form 4 mi niko three B jaman Motorola afu atukufanyana nikaja olewa na jamaa mwingine mwingine tu nlikuwa namliza uyo analala bwenini tukizinguana mahondaw kumbushia apa mafataki yako najua we walikuwa adi wababa wakubwa🤣🤣🤣
 
Hupati hogo la kukukojolea ngozi iwe laini?
Mimi nikiwa secondary nilikuwa mzuri kuliko sasa hivi.
Na ndivyo wengi walivyokuwa. Sasa hivi tumekuwa maisha yametutandika hadi sura zimekomaa, watakaotupenda sasa ndio true love sio kipindi cha nyuma tukiwa wabichi na wanono.
 
Unaandika kama chiriku ndo mana huyo jamaa wa F4 hakukuanya!
[emoji26][emoji26][emoji26] najiskia kulia sjui nlikuwa na uzuri gani mimi kijana alininunulia sim yuko form 4 mi niko three B jaman Motorola afu atukufanyana nikaja olewa na jamaa mwingine mwingine tu nlikuwa namliza uyo analala bwenini tukizinguana mahondaw kumbushia apa mafataki yako najua we walikuwa adi wababa wakubwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom