Wadada haya ndio yalikuwa mapenzi ya kweli

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,787
Reaction score
10,394
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa..
 
Mimi nikiwa secondary nilikuwa mzuri kuliko sasa hivi.
Na ndivyo wengi walivyokuwa. Sasa hivi tumekuwa maisha yametutandika hadi sura zimekomaa, watakaotupenda sasa ndio true love sio kipindi cha nyuma tukiwa wabichi na wanono.
 
Yalikua sio mapezi ulikua ushamba mtu anakataa shule kisa kapata mvulana masikini kwao kama nini
 
Shida nini? Shaft zinazeesha au
Mimi nikiwa secondary nilikuwa mzuri kuliko sasa hivi.
Na ndivyo wengi walivyokuwa. Sasa hivi tumekuwa maisha yametutandika hadi sura zimekomaa, watakaotupenda sasa ndio true love sio kipindi cha nyuma tukiwa wabichi na wanono.
 
Kipind kile Hakuna kuhonga ukishakuwa na kitu kitakacho kufanya uwe special au tofaut na wengine Kama utozii, wale ma rapper wa shule Wale wenye akili au unaendesha hata pikipiki ya kuazima
Darasani ukiwa mbwinga hautokaa upate demu labda kama una hela
 
Mimi nikiwa secondary nilikuwa mzuri kuliko sasa hivi.
Na ndivyo wengi walivyokuwa. Sasa hivi tumekuwa maisha yametutandika hadi sura zimekomaa, watakaotupenda sasa ndio true love sio kipindi cha nyuma tukiwa wabichi na wanono.
Weka kapicha mkuu,tukupe max
 
Mimi nikiwa secondary nilikuwa mzuri kuliko sasa hivi.
Na ndivyo wengi walivyokuwa. Sasa hivi tumekuwa maisha yametutandika hadi sura zimekomaa, watakaotupenda sasa ndio true love sio kipindi cha nyuma tukiwa wabichi na wanono.
wengine tunapendaga jungu kuu tulambe ukoko mpaka tutoboe masufuria.
mliokomaa sura na kila kitu nyie ndio wenyewe, unakutana na kitu kina kipilipili cha kutosha pale ndipo unachukua topaz/shoka na kusafisha kiwanja na kuanza kubutua kombolela
 
Wahenga tumefaidi sana mapenzi! Hii ni picha yangu miaka ya sitini
tapatalk_jpeg_1570215011801.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom