Airport nakusubiria utangulie na mabeg ya fedha nyumbaniPole beb na safari......nilikumiss......Valentine yenyewe ilikuwa inaboa......wala sikutoka.......umefika wapi nije kukupokea.....?
Umeshapata wa degree?hatuangalii pesa bwana ila awe anakipato cha kutosha kukidhi mahitaji na sio maisha ya kubaingiza, mfano me kigezo changu ilikuwa ni lazma uwe na degree japo moja na uwe na kazi haijalisha mshahara ni kiasi gani
ndo nikasema kigezo changu kilikuwa, ofcoz alishapatikanaUmeshapata wa degree?
Acha hizo, bila dhambi ungezaliwa?astaghafiluahhh weye usinitie dhambini mie
Hongeraa, kwa hiyo humo ndani ni mwendo wa kitivo kitivo tu...ndo nikasema kigezo changu kilikuwa, ofcoz alishapatikana
Acha hizo, bila dhambi ungezaliwa?
Hongeraa, kwa hiyo humo ndani ni mwendo wa kitivo kitivo tu...
Kwani kitendo si nikile kile, tofauti imeletwa na wamishionari na waraabu tu. Enzi hizo wazee wetu walikuwa wanachukuana tu kama ambavyo mdau alivyokuwa anakuita hivi punde humu.haa haa haa haa mie sijazaliwa dhambini bana. ni mtoto halali wa ndani ya ndoa takatifu.
I'm coming baibeeee..wacha weeeee. Na ukikosea kitu anakushika shati au unasupp...Hahahaha ni mambo ya am going sweetie
Kwani kitendo si nikile kile, tofauti imeletwa na wamishionari na waraabu tu. Enzi hizo wazee wetu walikuwa wanachukuana tu kama ambavyo mdau alivyokuwa anakuita hivi punde humu.
Unaelewa haraka sana, lazima shuleni ulipata Daraja la Kwanzabasi sawa nimekupata
Rudisha ile avatar nyuma ya hii kama itawezekanahahaahahahaha pesa hatuwezi kuiweka bayana kama kigezo
kwasababu hicho kigezo chajionyesha wazi kama unazo au lah
muonekano wako utajionyesha kama zipo au lah