Wadada basi hata aibu hakuna??

Hahahahaha hahahahah aiseee humu ndani watu wana majibu ,waweza soma ukapoteza network walahi tena, nmejikuta nacheka hadi machozi "angekuwa mzuri c angekuwa na k" ahaa ww jamaa hufai hata kidgo
 
haaaaa...nyie ndiyo wale wale tu..mnatongoza vijana hata aibu hakuna..Alafu useme Ukimwi utakuja kuisha sehemu ya kazi,Mie siyo mrahisi kiasi hicho,siwezi kufanya upuuzi huo kwa mwanamke yoyote yule,zaidi ya mke wangu ananiamini na mimi nina mwamini..na sioni sababu ya kutoka nje ya ndoa yangu kama kila kitu napata kutoka kwa mke wangu tunaaishi kwa furaha,upendo na amani..tunajariana na tunachukuliana kwa kila hatua na mapungufu yetu.

Natafuta nini sasa..wanawake wote ni sawa tofauti ni sura,maumbile na kujituma..Ukiangaika sana utapata usilolitegemea...unapteza family yako yote na ndoto zako.mapenzi ni zaidi ya kugonoka..
HONGERA SANAA, NI WANAUME WACHACHE WANAOJITAMBUA KAMA WEWE...SHIKILIA NDOA YAKO KWA MIKONO MITATU BABA
 
Aibu ya nini?kama mtu kakutamani kwanini asifunguke tu ukweli kukaa kimya kunaumiza!
Hizo ni kwa wazungu tu kwa kibongo bado sana
km mm ngosha uniambie unanipenda natawaza sana lbd unataka kuniambukiza UKIMWI.
Ukiwa unitega, na vitu vingine km hivyo nitakuelewa.
Lkn ukiniambia siku hiyo nitashindwa mpaka kula, nitawaza sana
 
Tumeshajua wewe ni handsome! Sasa kama wako umemwacha nyumbani na wengine wakapata huo utamu wa handsome kuna shuda gani?
 
Hizo ni kwa wazungu tu kwa kibongo bado sana
km mm ngosha uniambie unanipenda natawaza sana lbd unataka kuniambukiza UKIMWI.
Ukiwa unitega, na vitu vingine km hivyo nitakuelewa.
Lkn ukiniambia siku hiyo nitashindwa mpaka kula, nitawaza sana
Kama hutegeki nafanyeje zaidi ya kufunguka tu jaman kama hiv si tunenda pimaaaa tuuuu
 
Leo nimeingia zangu kazini kama kawaida,mara akaja dada mmoja ameolewa jicho kavu hata aibu hana akasema unajua J yaani mimi. wewe ni handsome na unamvuto wa kila mwanamke humu ndani na kila mdada anakuzungumzia wewe wewe ni chaguo sahihi..ni kamwambia Asante na ninalitambua hilo toka nilipokuwa abroad nikisoma.

Akamaliza,Sasa J.tutakwenda lini wote dinner...nikamtazama nikamwambia si unajua mie nina mke hata miezi sita sijamaliza kwenye ndoa yangu...siwezi kwenda sehemu bila ya mke wangu kujua akajibu..wewe una mke nyumbani na mimi nina mume nyumbani....haaaa alinimaliza nguvu,nikamwambia kama umetumwa aliyekutuma kamwambie umeshidwa..Akaondoka zake huku akijitingisha...

Mchana nikamwita dada mmoja naye tunafanya naye kazi nikamuuliza baada ya kumwelezea kila kitu alichonijibu hata sikuamini masiko yangu.."kila binti humu ndani anakuta sema wanaogopa namna ya kukuanza"nikamwambia asante,message imenifikia...nikawamwambia asanteni mie najua huwa ni masiala tunapotaniana humu ndani ndiyo nikapata picha kamili za kuwa napigiwa simu usiku na sms..nikaachana naye..

Dada zangu naomba basi muwe hata na uso wa aibu yaani unamtaka mtu na huku ukijua kabisa ni mume wa mtu na tena hata kwenye harusi ulikwepo na unajua ndoa yao bado changa mapenzi bado motomoto unaingiza ushetani wako.Tafadhari acheni.
Utalipia tangazo kwa kujipa promo humu
 
mhhhhhh
 
Aisee....kwa mtindo huu nahisi kama tuna safari ndefu kidogo ya kujikwamua kutoka kwenye hii poverty trap as a nation...ngoja niendelee kufungua bongo yangu !!
 
hizo ni dalili za woga
wafate waambie ukweli tu. mbele ya bosi wao kua kufatwa fatwa hutaki....
maana sisi hatukujui pia hatujui uzuri wako
kwahiyo hatuwezi ku-judge...
*usirushe mkuki kichakani wakati adui unamuona kakaa uwanjani*
 
Leo nimeingia zangu kazini kama kawaida,mara akaja dada mmoja ameolewa jicho kavu hata aibu hana akasema unajua J yaani mimi. wewe ni handsome na unamvuto wa kila mwanamke humu ndani na kila mdada anakuzungumzia wewe wewe ni chaguo sahihi..ni kamwambia Asante na ninalitambua hilo toka nilipokuwa abroad nikisoma.

Akamaliza,Sasa J.tutakwenda lini wote dinner...nikamtazama nikamwambia si unajua mie nina mke hata miezi sita sijamaliza kwenye ndoa yangu...siwezi kwenda sehemu bila ya mke wangu kujua akajibu..wewe una mke nyumbani na mimi nina mume nyumbani....haaaa alinimaliza nguvu,nikamwambia kama umetumwa aliyekutuma kamwambie umeshidwa..Akaondoka zake huku akijitingisha...

Mchana nikamwita dada mmoja naye tunafanya naye kazi nikamuuliza baada ya kumwelezea kila kitu alichonijibu hata sikuamini masiko yangu.."kila binti humu ndani anakuta sema wanaogopa namna ya kukuanza"nikamwambia asante,message imenifikia...nikawamwambia asanteni mie najua huwa ni masiala tunapotaniana humu ndani ndiyo nikapata picha kamili za kuwa napigiwa simu usiku na sms..nikaachana naye..

Dada zangu naomba basi muwe hata na uso wa aibu yaani unamtaka mtu na huku ukijua kabisa ni mume wa mtu na tena hata kwenye harusi ulikwepo na unajua ndoa yao bado changa mapenzi bado motomoto unaingiza ushetani wako.Tafadhari acheni.
mbomna na ninyi mnawatakaga wake za wenyewe bila haya jin o kwa meno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom