Wadada basi hata aibu hakuna??

...Ah! wapi ni haya mapapa ya mjini tu yasiyo na aibu Mundu!...Kama wanajua jamaa ana mke tena staff mwenzao na harusi walishiriki si ndio mafisi maji hao!! namshauri tu jamaa akomae asiharibu ndoa yake tena bado changa kabisa!....

Hivyo sie tunaita visungura tope...
 
Leo nimeingia zangu kazini kama kawaida,mara akaja dada mmoja ameolewa jicho kavu hata aibu hana akasema unajua J yaani mimi. wewe ni handsome na unamvuto wa kila mwanamke humu ndani na kila mdada anakuzungumzia wewe wewe ni chaguo sahihi..ni kamwambia Asante na ninalitambua hilo toka nilipokuwa abroad nikisoma.

Akamaliza,Sasa J.tutakwenda lini wote dinner...nikamtazama nikamwambia si unajua mie nina mke hata miezi sita sijamaliza kwenye ndoa yangu...siwezi kwenda sehemu bila ya mke wangu kujua akajibu..wewe una mke nyumbani na mimi nina mume nyumbani....haaaa alinimaliza nguvu,nikamwambia kama umetumwa aliyekutuma kamwambie umeshidwa..Akaondoka zake huku akijitingisha...

Mchana nikamwita dada mmoja naye tunafanya naye kazi nikamuuliza baada ya kumwelezea kila kitu alichonijibu hata sikuamini masiko yangu.."kila binti humu ndani anakuta sema wanaogopa namna ya kukuanza"nikamwambia asante,message imenifikia...nikawamwambia asanteni mie najua huwa ni masiala tunapotaniana humu ndani ndiyo nikapata picha kamili za kuwa napigiwa simu usiku na sms..nikaachana naye..

Dada zangu naomba basi muwe hata na uso wa aibu yaani unamtaka mtu na huku ukijua kabisa ni mume wa mtu na tena hata kwenye harusi ulikwepo na unajua ndoa yao bado changa mapenzi bado motomoto unaingiza ushetani wako.Tafadhari acheni.

Natamani kula K yako handsome !
 
Nakupongeza kwa kuonyesha fierce loyalty to your wife. Achana na hao mademu hapo ofisini watakuharibia ndoa na maisha, usikose wote ni miwaya hiyo. Big up mkuu!!
 
We jamaa **** wa mwisho kweli, kwahiyo unataka kutuambia watanzania wote kwamba we mzuri hadi unapendwa na mademu wa ofisini kwako? usijifagilie acha hizo tabia za kidemu kaka, ukitaniwa kama mtoto basi wavimba kichwa ukute unalisura ngumu basi wadada wakamua kukuliwaza hivyo basi usiyejua mambo ya dunia ukaona sayuni.
 
Kwanza hujamtendea haki huyo binti, kama kakueleza hisia zake na wewe hujapenda kwanini usimtunzie heshima? kabla hujao mara ngapi umewatokea wadada wakakutosa na hawakutangaza tabia zako hadi ukampata wa kuoa? au ulitaka kutuambia kwamba we mzuri pia umesoma nje ya nchi? Usirudie hiyo tabia na usilete hapa jamvini kwa wanaume mweleze mkeo
 
Mfumo dume umepigwa vita na umekufa
sasa huuu ndo mfumo jike
wamewezeshwa wanaweza kazi kwenu lol
 
Safi sana.Kule nyumbani huwa tuna ka msemo,'Hata hukusema umekasikia,yalisikika hayo maneno Nyani akiliambia Jiwe baada ya kulijapia'Ume argue ki kubwa Mkuu.
 
Leo nimeingia zangu kazini kama kawaida,mara akaja dada mmoja ameolewa jicho kavu hata aibu hana akasema unajua J yaani mimi. wewe ni handsome na unamvuto wa kila mwanamke humu ndani na kila mdada anakuzungumzia wewe wewe ni chaguo sahihi..ni kamwambia Asante na ninalitambua hilo toka nilipokuwa abroad nikisoma.

Akamaliza,Sasa J.tutakwenda lini wote dinner...nikamtazama nikamwambia si unajua mie nina mke hata miezi sita sijamaliza kwenye ndoa yangu...siwezi kwenda sehemu bila ya mke wangu kujua akajibu..wewe una mke nyumbani na mimi nina mume nyumbani....haaaa alinimaliza nguvu,nikamwambia kama umetumwa aliyekutuma kamwambie umeshidwa..Akaondoka zake huku akijitingisha...

Mchana nikamwita dada mmoja naye tunafanya naye kazi nikamuuliza baada ya kumwelezea kila kitu alichonijibu hata sikuamini masiko yangu.."kila binti humu ndani anakuta sema wanaogopa namna ya kukuanza"nikamwambia asante,message imenifikia...nikawamwambia asanteni mie najua huwa ni masiala tunapotaniana humu ndani ndiyo nikapata picha kamili za kuwa napigiwa simu usiku na sms..nikaachana naye..

Dada zangu naomba basi muwe hata na uso wa aibu yaani unamtaka mtu na huku ukijua kabisa ni mume wa mtu na tena hata kwenye harusi ulikwepo na unajua ndoa yao bado changa mapenzi bado motomoto unaingiza ushetani wako.Tafadhari acheni.

Hahhaah! We ulifikiri kutongozwa ni kazi rahisi eenhe!! Mkikaa kwenye vijiwe utasikia MwaJ aaah hamna kitu, sawa na maharage ya mbeya, haya onyesha ukakamavu wako!!

Pole mkuu, ninachojua kutongoza is so simple and good, ila kutongozwa mmh!!
 
Kaka weka picha yako tutoe comment kama kweli handsome na tuambie usome nchi gani hofu yangu usiwe kuwa brazamen wabongo ndio zao hizo,,,,,,,,!!!!! EHEEE kazi kweli kwelii
 
kuna usemi usemao"Mbega aliponzwa na uzuri wake"usemi huu nimeukuta hapa duniani sasa hivi nina umri wa miaka 46!Sasa usikubali kuponzwa na u-hundsome wako ambao uliugundua ulipokuwa majuu.Mwisho wa siku utakapotakiwa kuvishwa nepi hutawaona hao,isipokuwa mkeo maana ndiye aliyekula kiapo.Kama wewe ni wadini yangu mkeo hatakuwa na jinsi ya kukuacha maana niwakufa nakuzikana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom