Naona unatia saund mjomba,hahahahaSikila unacho amini nisahihi unapotoka nyumba au mtandaoni unaweza kupata wakwako chamsingi niumakini tu hata cc kunaakina mama kwenye mitandao nimatapeli balala
Wanaume tunaamin,dem above 30 katumika mno.Hivi binadamu nashukaje thamani ilihali una afya njema kabisa?
Sii kwelMie sio mchaguaji ila nahisi najiamini mnoo!!
Hahaaa,mate nafasi za kina Joseverest hizi!!!Kwa hiyo unashauri nini mtoa mada
Mtu mwenye vision utamjuaje akat hata salam tuu mnabinua midomo.namba ndo hamtoi kabsaa,au had nivae nipendeze etc,..na ndomana sis tunaolifaham hlo kua kupendeza na kungaa na gar ndio vision ya wadada hua tunawagonga sana nyie.Nahitaji mtu mwenye vision ili tuweze kujenga financial stability tukiwa pamoja
Haipotezi ukweli,kushuka kwa thamani kuko palepale.Mie sio mchaguaji ila nahisi najiamini mnoo!!
Hahaha,..kwan jamaa akitoa znatoka nanii au upepo...au ndo full kinga,..yan umeshindwa hata kumtegeshea ,dada angu ni muda sasa wa kuchanganya na za kwakoNataka katoto smart,,, tumeshatombana vyakutosha
Ukishajiona unaangali mwanaume wa 40+ ujue ushashindwa pambano dadakwahiyo unajaribu kusema nini mbona haueleweki binti?!
wanaume wakivuka age 40 hawaangalii offspring maam! kaa ujue hivyo!
kuchelewa kuolewa sio lazima uje uolewe na kiben 10.. lenga 43 mpaka 48 wapo kibao hawajaoa, tatizo lenu nyie mnajifungia sehemu moja hamtaki kuzunguka
na hao 40+ men hawaangalii umbo shape wanaangalia maturity na mwanamke wa kuishi nae kubadilishana mawazo na kuzeeka pamoja!
PS:
Mtu anaeshangilia maandamano ya tar 26 april 2018 simwelewi kabisaa huenda kichwani kumepunguka!
Daaa blaza muonee huruma daah,hahahaHaipotezi ukweli,kushuka kwa thamani kuko palepale.
At first,,,, We didn't plan... Inapendeza sana kila mmoja akiwa tayari na si kulazimisha au kutegesheana.. Pia tulipeana muda wa kuchunguzana ipasavyo kila mmoja aingie ndoani akiwa ameridhia thou gemu as usual...Hahaha,..kwan jamaa akitoa znatoka nanii au upepo...au ndo full kinga,..yan umeshindwa hata kumtegeshea ,dada angu ni muda sasa wa kuchanganya na za kwako
exactly mkuu...Wanaume tunaamin,dem above 30 katumika mno.
kwahiyo unajaribu kusema nini mbona haueleweki binti?!
wanaume wakivuka age 40 hawaangalii offspring maam! kaa ujue hivyo!
kuchelewa kuolewa sio lazima uje uolewe na kiben 10.. lenga 43 mpaka 48 wapo kibao hawajaoa, tatizo lenu nyie mnajifungia sehemu moja hamtaki kuzunguka
na hao 40+ men hawaangalii umbo shape wanaangalia maturity na mwanamke wa kuishi nae kubadilishana mawazo na kuzeeka pamoja!
PS:
Mtu anaeshangilia maandamano ya tar 26 april 2018 simwelewi kabisaa huenda kichwani kumepunguka!
Nahitaji bunduki AK 47 na mabomu 2. Shilingi ngapi kwa vyote mkuu?Umeanza vizuri, umeharibu mwisho hapo
Sijaelewa kitu ila nafikiri sababu mimi ni mwanaume, jainihusu!wadada ukivuka miaka ya kuolewa,its predicted utachukua mtu sio wa saizi yako
nilijua ni msemo tu wa mtaani,kumbe kweli,
ni hivi....
tunapofanya mate selection,tunaexchange values...
vipi kila mmoja,ni vigezo gani anavileta mezani....
sasa hapo ndipo tunapodiffer...
wanawake tuna prefer mwanaume financially stableπππ na intelligent
wanaume wanaprefer wanawake wadogo kushinda wao na physically attractive
hivyo tunatrade kny soko la wachumba,lol...
hizi choices ziko essential kwenye reproduction,
its adaptive,
Men choose younger women as they are capable of producing offsprings that they want.....(najua mtanibishia ila ukweli ndio huo)π΅π΅
And women choose men who are financially established as they want to have confidence that their children will survive as he will provide for them/their protection......
Sasa basi,ukiwa msichana mdogo,uko kwenye reproduction peak utafuatwa na wengi,as you go slowly towards menopause value yako inashuka taratibu....ππππππππ....