Wadada ambao ndoa bado

kwani humu JF [HASHTAG]#irene[/HASHTAG] uwoya hana acc""""
 
Hivi sis wanaume hatunaga limit kwenye masuala ya umri. Maana kila siku naona dada zetu wanarushiwa mawe.
 
Tumebishana sana kwenye mada moja, nikasema kipaumbele cha wanawake kumkubali mwanaume ni pesa nikapingwa sana

wanakataa hapa lakini katika uhalisia wa maisha yao wanaujua.
 
hatuwezi kupingana na nature mkuu,na haya niliyosema hayata apply kwa kila mtu,mimi mwenyewe niko 30's bado sijaolewa,lol nahisi tunatakiwa tu compromise kidogo,hakuna mtu mkamilifu,usiwe choosy mkuu kantwe
Kumbe tunaweza yajenga!!
 
Value itashuka kwa mtazamo wa nje lakini kamwe haiwezi kushuka kwa mtazamo wa ndani(facts).
 
Hiyo avatar yako na mawazo yako mnaendana
Sasa hiyo intelligence itakusaidia nini au umeongezea tu uzi uwe na maneno mengi.Pesa ndo kila kitu
 
Mimi sio mchaguaji sana ila vigezo na masharti kuzingatiwa
kuna watu watasema sentensi yangu inajicontradict waambie sio lazima waelewe kila kitu
Tumekuelewa sana...sasa wee endelea na kuwekea wenzio vigezo akat wew vigezo vyako vnazid kupungua,..

Je?...unaoleka dada?sio above 30 af vigezo viiing shaur yako
 
Yaani wanawake mngetujua vizuri mngekuwa mnaolewa kipindi cha chuo, yaani hapo first year second hiyo hap, huwa mpo kwenye peak ile mbaya, lakini ndo hivyo maringo yenu nayo ndo huwa yako kwenye peak vile vile, teh!
Yaani mngekuwa mnaolewa ndo mnaendelea na shule
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…